Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,402
- 191,522
Fatilia thread mbele,Hayo maamuzi yalikuwa ni yapi mkuu
Fatilia thread mbele,Hayo maamuzi yalikuwa ni yapi mkuu
Midume ya sikuhizi inaboa sana. Yaani unajiskiaje una dem papuchi yake kuna mtu anaila na unajua hahahaha. Ndo maana saudi arabia marufuku dem kutoka nje ya nyumba bila ndugu wa kiume. Hv unawezaje kuoa mwanamke unajua kabisa anayemgonga?Japo moyo ulikataa, ila niliamua kushirikisha akili zaidi...Niliamua kumuacha rebound wangu huyo japo alikuwa mzuri na mtamu kuliko demu wangu aisee nkaamua nimrudishe demu wangu kwenye track. Japo mi ndio nilifanya maamuzi kuwa namuacha huyo mamnzi ila nililia kinoma that night maana nilijua ntamuumiza sana yukogo so emotional.
Alikuwa so romantic and heartful na sio mchoyo pesa alikuwa nayo ila niliwaza sana sasa hata kama nikisema mi ndio nijicommit kwake vipi kama wataelewana na jamaa yake mbeleni? Ina maana ndio ntaendelea teseka penzini. Nikaona bora niwe na wangu tu exclusive ambae nna sauti nae 100%
Too bad alikujaga kuachana na jamaa yake baada ya miezi kadhaa kupita. Ila ndio tulikuwa tusha break up akawa amenichukia sana kwa kuwa nilimuacha kipindi kibaya asichotegemea. Tukaendelea na urafiki baada ya hasira zake kupoa ila hatuonanagi tena siku hizi.
Midume ya sikuhizi inaboa sana. Yaani unajiskiaje una dem papuchi yake kuna mtu anaila na unajua hahahaha. Ndo maana saudi arabia marufuku dem kutoka nje ya nyumba bila ndugu wa kiume. Hv unawezaje kuoa mwanamke unajua kabisa anayemgonga?
Midume ya sikuhizi inaboa sana. Yaani unajiskiaje una dem papuchi yake kuna mtu anaila na unajua hahahaha. Ndo maana saudi arabia marufuku dem kutoka nje ya nyumba bila ndugu wa kiume. Hv unawezaje kuoa mwanamke unajua kabisa anayemgonga?
Njoo kwangu, utafurahia yani. Amna ruhusa ya kufanya upumbavu na ukizingua utaipenda.Inaboa saaana ..... ndo maana kuna wengine tunashindwa kuwa na mtu asie mbabe ! Raha ya mwanamme uutambue uwepo wake sio kila utakachosema linaitikia tuuu.
Njoo kwangu, utafurahia yani. Amna ruhusa ya kufanya upumbavu na ukizingua utaipenda.
We unataka ruhusa ya kufanya nini bibie maana kuna vingine sitakuruhusu kichapo itategemea na level ya adabu yako na matumizi mazuri ya kauli.Khaaa sasa kwenye ruhusa inategemea na hamna kichapo
We unataka ruhusa ya kufanya nini bibie maana kuna vingine sitakuruhusu kichapo itategemea na level ya adabu yako na matumizi mazuri ya kauli.
Usijali bibie, you gonna be fine.No kichapo hata itokee nini
HahahaMbona madem wapo weng bob kama kunguru dar, tafuta hata malaya moja hunu jf
Hahahaaa...Mkuu umeua aisee hebu elezea kidogo upopoma wetu..Wewe, huyo Mwanamke na huyo Mwanaume mwingine Wote ni ' Mapopoma ' watupu.
Mkuu unanipa mori niamshe kama mmasaiBwege kweli ..... yaani unaishi nyumba moja na mwanamke afu anakipeleka kwa mwanamme mwingine ? Mwambie aachane na bwana ake inshort kinukishee
Aliniambia anamshkaji ambae hampendi pia anamzingua tuKwani ulivyokua una mtongoza alikuambiaje?