Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,402
- 191,522
Hahaha hio kiboko, sema hamnaga awali mbovu siku zote...Ushauri wa kibabe, mwizi anakuwa mbabe mbele ya mwenye Mali
Hahahahaha ukitaka cha uvunguni shalti uiname, msela kaomba mzigo kapewa lakini kapewa kabisa namachaguo kuwa ana mpenzi wake na anampenda kwa hiyo kama anataka awe spare tairi aunge tela na yeye kaunga hakuna lawama hapo hahahahahahaha
Jamaa alieanza na mwanamke ndio ana nguvu zaidi siku zote. Akiamua kukufanyia usngese utajuata maana unaweza hisi umemkomoa kwa kumnyang'anya demu ila ana ufunguo wa akili ya mwanamke tayari. Mtajikuta mnaenda sawa kwenye kum mbato manzi na pengine atamtia mimba kabisa kisha wewe ulee mtoto.