Nimepata msichana mwenye mwanaume mwingine

Nimepata msichana mwenye mwanaume mwingine

Duh, Hapa kazi unayo mzee,
Hebu fanya utafiti,
Na je jamaa ake wa Dar anaonyesha dalili ya kuwa na mtu?, je wana mipango ya baadae?, maana kuna watu hawaachani, usije ukaumia hapo mbelen....
 
Back
Top Bottom