Nimepata mpenzi mpya, Ex wangu kwa heri

Nimepata mpenzi mpya, Ex wangu kwa heri

Cjaona neno real hapo [emoji23],,hapo hapo kweny profit slide left tuone neno real
Una njaa sana fanya hizo kwanza, ukisha shiba uje

New babies

USDCAD- BUY TP 1.38894

EURGBP-SELL TP 0.86565
 
Lot ya 10 profit Dola 300 [emoji849],,
New babies

USDCAD- BUY TP 1.38894

EURGBP-SELL TP 0.86565

Fanya hizo lot weka 10 kama unajiamini

Stop loss utajua mwenyewe, upate hela ya kula kwanza alafu urudi hapa

Hiyo ni day 1. Sasa shauri yao uweke unavyo jua
 
😂😂😂😂😂,,,
New babies

USDCAD- BUY TP 1.38894

EURGBP-SELL TP 0.86565

Fanya hizo lot weka 10 kama unajiamini

Stop loss utajua mwenyewe, upate hela ya kula kwanza alafu urudi hapa

Hiyo ni day 1. Sasa shauri yao uweke unavyo jua
😂😂😂😂,,Signal za mchongo hzo uwezo bado kijana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],,,

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],,Signal za mchongo hzo uwezo bado kijana
Wewe ni mjinga, hiyo hapo

Soma tarehe na muda hapo
Screenshot_20231113-160358.jpg
 
Nisaidieni kumuonyesha tarehe na muda huyo kijana.@Shivo32 wewe ndiyo yule tunakutongozea demu tunakupa alafu unasema huoni kipochi unabaki kulamba lipsi
Screenshot_20231113-160358.jpg
 
Nisaidieni kumuonyesha tarehe na muda huyo kijana Shivo32 wewe ndiyo yule tunakutongozea demu tunakupa alafu unasema huoni kipochi unabaki kulamba lipsi

Ndiyo maana nimekuambia una njaa sana.

Muda na kupa hiyo signal ilikua bado na pumulia mashine ni zame au ni ache ila ona sasa ubishi wako
Screenshot_20231113-160358.jpg
 
Nyie endeleeni na ndoa zenu shauri yenu, signal hizo hapo..

Na mchongo ni kama hivyo. Usikodolee secreen macho utakufa ingia akafu zima kila kitu nenda kalewe utachungulia baadae.

Mimi nimeoa huku nyie angaikeni na mapenz.

Chezeni na MVA kwenye down na up trend desa hilo huko juu .. sifundishi mtu maana sitaki lawama
Screenshot_20231113-160358.jpg
 
Nisaidieni kumuonyesha tarehe na muda huyo kijana.@Shivo32 wewe ndiyo yule tunakutongozea demu tunakupa alafu unasema huoni kipochi unabaki kulamba lipsiView attachment 2812710
😂😂😂😂😂,,Sawa mkuu umeshindaaa lakn uwez mdog xanaa. tusibishane xanaa profitable trader hatubishanagi take easy
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],,Sawa mkuu umeshindaaa lakn uwez mdog xanaa. tusibishane xanaa profitable trader hatubishanagi take easy
Pamoja mkuu.. tunatakiwa tuzuie sana emotion tunapo tongoza watoto wazuri ila sorry emotion zilikua zipo juu sana ndugu yangu. Maana hela inakonyeza konyeza sana unaweza ukazimia wakati wa kusaka pisi kali.
 
Pisi kali nyingine hii hapa ..

Hii pisi inamkia mkubwa mtoto mweupe , chuchu saa sita kafungasha huko nyuma na guu la bia kama lote.

Mtoto mzuri huyu hapa sasa mseme leo mmekosa demu.

USDJPY - BUY muda wa kuzama fukuzia demu akifika 151.765 anza kupiga swaga

Tp set 152.265.

Stop loss 151.167 kama unajiamini usiweke


Lot size weka yeyote sawa sawa na moyo wako mimi nitabeti mtongozo wa lot 10 alafu nita weka na lot 3 masaa tofauti .

Usimpeleke mrembo mbio mbio.

HELA ZAKO MOYO WAKO, KAMA UNA PRESHA NA MATATIZO YA MOYO SIKUSHAURI UTONGOZE . MAPENZI YA HUKU YANA UA .EX WANGU POPOTE ULIPO ULINIAMBIA MIMI MWANAUME SURUALI SINA HADHI YA KUTOKA NA WEWE , SASA NASUBIRIA UJE UNIITE FREEMASON
 
Fanya hizo USDCAD, USDJPY , NA EUR JPY zote una buy..

Hiyo USDCAD NA USDJPY NISHAKUPA Na zote una buy.. entry ya USDJPY 151.765

EURJPY- BUY na mashaka nayo sana ila kila nikichungulia naona itaanzia hapa 161.922 Na Nafikiria itafika hapa 162. 120 nakuendelea hadi hapa 162.410

Hii invest for ur own risk
 
Ndugu wana jf, baby wangu mpya ananipa changamoto sana ila anafanya na tumia akili kubwa sana,

Sihitaji hasira wala kuchukia chukia japo wakati mwingine akiwa anakonyeza konyeza najikuta moyo unawaka kama umewekewa pasi.

Ndugu sasa maomivu ya mapenzi bye bye... Napendwa na ninapendeka.

Karibuni nyote huku kwenye penzi jipya ila usipo kua makini unaweza ukafa kwa msongo wa mawazo na mshtuko wa moyo,

Sifundishi unasoma mwenyewe kitabu , unaingia youtube na kucheza na news pia.

Hapa ni MOVING AVERAGE INA CONTROAL MAHUSIANO YANGU MAPYA karibuni sana.

Najua huyu demu wangu wa sasa ni rahisi kuniua ila nacintroal sana emotion .

Nb. Kama una matatizo ya moyo na presha sikushauri uingie kwenye haya mahusiano

ONYO : USIHONGE HELA YA KULA, ADA AU KODI KWENYE KWA HUYU MPENZI MPYA. KAMA UNAHELA ZA MAWAZO SIKURUHUSU UMTONGOZE View attachment 2812593View attachment 2812594
Kwa hizo lot unazotwanga, jiandae kubakwa na huyo mpenzi wako mpya.
 
Back
Top Bottom