Lady of Destiny1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 588
- 869
- Thread starter
-
- #161
Hahahahahahahahhahahahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zinauma kucheka, dah sijui na sina cha kujibuNaomba kukuuliza..
Umeshamfungulia dunia tayari?
Kama bado aisee hizo sifa ulizomwaga hapo juu zi pause kwanza maaana asije kuuliza wauzaji wa ile dawa maarufu kwa wanaume #Al kasus# migongo ni tatizo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Khaaa ugonjwa mwingine unaojipenyeza ule uliotoka kwako nao wa kwenda hospital ule jamani
[emoji817][emoji817]Mkuu hayo ni MASHAIRI YA SULEIMSN, katika kitabu cha WIMBO ULIO BORA.
Amebadili maneno mschache tu
[emoji119][emoji119][emoji849]Dudu la yuyu
It was take me out SA...Joe sijui yupo wapi.Mi nilikuwa napenda kufatilia ya take me out mzansi
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vumilia dada
Shauri yako auntie...Ukisikia uongo ndio huu.
Hebu baki na uongo wako.
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Nawaringishia ovaKwa hiyo unaturingishia ama
Unataka tukusaidie nini hebu jaribu kuwa muwazi !
[emoji817][emoji817]kwa kukazia mnapokua pamoja usipendelee sana matumizi ya smart phone..na hta kama itawalazimu kupiga pcha basi hakikisha unakaa vizuri pcha itoke vizuri,usikae hovyo hovyo Jitahidi mpige wote picha usikubali kupiga pcha mwenyewe.
Mi nimemaliza...nikiwa kama katibu wa Kamati.
Mimi meacha kuangalia tv miaka minne sasa imepitaHalafu umewasha TV hata hufwatilii kinachoendelea.. acha mapenzi yatawale tu.
Atoto agiza thoda kwa mangiPambana na ubaharia wako, let her enjoy the love.
Dunia haizunguki kichwani mwako.
HahahahahahaWallah ni mwanaume mzuri sijutii wanaume humu wapo ila wa kulenga na manati
[emoji1663][emoji1663][emoji1663]Rubbish
Haaa halafuNawaringishia ova
Hivyo hivyoJF (JAMAA FULAN)
hahahaaaaaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Fungua hiyo codeee