Nimepata mpenzi Jf

Hawa wanaume wa Jf mimi huwa nahisi wanatania sio rahisi kuwa amini
Tunamaanisha mdada na hatuna utani kwenye hili hususani mimi sipendi ujinga ujinga kabisa. Na nakemea vikali wanaume wote wa humu wanaotania tania wanawake warembo kama wewe.
 
sasa mtag mbona kama unaua ndege kumi kwa jiwe moja
 
Naona mashairi kama ya kwenye wimbo uliobora....

Nami nasema " nawasihi enyi binti za Yerusalemu msiyaamshe mapenzi...."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…