G won laban
Member
- Sep 28, 2016
- 6
- 2
Be blessed jaaah nyingine iapa S926/0097/2012
Be blessed jaaah nyingine iapa S926/0097/2012
Be blessed jaaah nyingine iapa S926/0097/2012
Be blessed jaaah nyingine iapa S926/0097/2012
Habari mkuu,Kukosa mkopo kusikie tu kwa jirani.
Likikukuta utatamani ufe unywe sumu au ujinyonge maana wenzako watasoma ww upo nyumbn.
Nlikuaga ckai kwa amani chuoni wala class.
kuna test nlipata 1/5 kisa nlikosa mkopo.
ila sasa moyo umetulia.
Itakua hvoo hata sisi yamekuja juzi .Habari mkuu,
Nimepata mkopo lakini jina langu alijaletwa chuoni kwangu mpaka sasa hivi. Nafanyaje? Nikifatilia naambiwa majina bado hawajatumiwa[emoji17]
Asantee[emoji5]Itakua hvoo hata sisi yamekuja juzi .
subr hii wk haiiishi mtabandikiwa.
hongera!
dogo kumbe hata semester hujamaliza hahahahahahah...Itakua hvoo hata sisi yamekuja juzi .
subr hii wk haiiishi mtabandikiwa.
hongera!
dogo kumbe hata semester hujamaliza hahahahahahah...
[emoji15] [emoji15]Huyu lazima Russa amle kichwa ...Mbwembe nyiiingi kumbe sem 1 watu wako sem 9 wametulia
Deadline imeshapitaaaWakuu nifanyieni arakati nataka ni appeal em nelekezeni aisee....
Sema kweli aisee ...maisha hayaaDeadline imeshapitaaa
Mkuu acha kukatisha tamaa wenzio kisa wewe ulipata mkopo usiku wa manane. Mwisho wakuappeal ni tarehe 31/01/2017Deadline imeshapitaaa
Na wewe haupo serious na unachokifanya. Hata procedure za kuappeal hujui. [emoji2] [emoji2] [emoji2]Wakuu nifanyieni arakati nataka ni appeal em nelekezeni aisee....
Tym inaenda form za ku appeal washaanza kushughulikiaDeadline imeshapitaaa