fadhila mshana
Member
- Jul 31, 2016
- 26
- 9
Naomba nisaidie hii S1070.0023.2013
kaka niangalizie na mm S0913/0018/2013Jamani angalieni akaunti zenu wameongeza majina nimelipiwa asilimia 98.5.
Omie naomba nchekie hii s1163-0219[http://olas]
Full Name : MUJUNI, PELINUS
Loan Breakdown
Meals and Accommodation (MA)2,099,500Books And Stationary (BS)200,000Field Practical and Trainings (FPT)0Tuition Fee556,000Research0Special Faculty Requirements (SFR)0TOTAL AMOUNT2,855,500
Online Help
Ntumie pdf ya majina yote kakaHivi ndio wametoa majina yote au kuna batch nyingine?
Kwani naona idadi ya waliopata ni 25,012 na kwa maelezo ya bodi ya mikopo ni kuwa wanauwezo wa kuwapatia wanafunzi wapatao 25,717 na wanaokata rufaa nadhani ndio hiyo nafasi ndogo iliyobaki?
Pia naona wengine wapewa chakula na malazi tu bila vitabu na steshenari.
Duh kazi ipo kwa wazazi maskini.
Haya makubwa tena.Hata culculation ndogo ya std v .Hii ndo Tanzania.Kama ndo upo chuo hufai toka muda huu kuwa hapo.Percentage ni ngap maan fee ni 1.5 million???
Mkuu namba yako bado bt kuwa tu mvumilivuNaomba niangalizie S2020/0122/2012
Ni 2012 kaka sio 2013 kakaMkuu namba yako bado bt kuwa tu mvumilivu![]()
S2020/0122/2012Ni 2012 kaka sio 2013 kaka
[emoji50][emoji50][emoji50] haya bana, nakuona !huu ndo muda wa kumkumbuka KIKWETE
ata hesabu za kutafuta asilimia ujui mungu okoa tzPercentage ni ngap maan fee ni 1.5 million???
Kanunulie gariJamani angalieni akaunti zenu wameongeza majina nimelipiwa asilimia 98.5.