ABINALA
Senior Member
- Sep 20, 2013
- 134
- 55
Habari za majukumu ndugu zangu!
Napenda kuwapongeza waliofungua/anzisha huduma hii ya jamii forum!
Kwa wale ambao huuliza kama kweli unaweza kupata mwenza humu nawaambia jibu in NDIO kwa maana Mke wangu nilimpata hapa na kilichonifanya kuwa naye mbali na comments za watu kuwa hapa hakuna mume/Mke mwema in kuwa watu wa hapa ndio watu wa mtaa pia niwaulize swali moja kwani mnadhani wanaiweka post zao humu wananchi yao tofauti?
So wote waliopo humu ndo haohao tuko nao mtaa wakiwa na majina mengine tofauti na title zao. Kwa sasa nina mke niliyekuta naaye kupitia jf tuna Mtoto mmoja very bright maisha yanaenda and she loves me dearly.
But nina tatizo naomba wana jf mnisaidie tatizo language ni 'trauma experience'/psychological banging' nina maana kuwa japo nimeishi naye miaka minne sasa likija suala la kuwa alishawahi kuwa na mtu wake huko mji Mkuu wa Tz napata presha moyo wangu unaumia sana bcoz of my "ego"
Niliweza kuwa naye baada ya kupewa ushauri na mtu kuwa kuoa mtu asiye bikira si tatizo kwani tunaishi kizazi ambacho usafi wa moyo hakuna na kwa jinsi kulivyo na maendeleo ya science na technology basi in vigumu kumpata binti bikira kwa hiyo nilifanya kinyume na matarajio/imani yangu.
Sasa wana jf naombeni ushauri nitavumilia halii mpaka lini? kwa sababu hata akianza kunisimulia mahusiano na ex wake moyo wangu unapasua na kujilaumu sana kwamba kwanini nilooa mwanamke aliyejuliwa na mwanaume mwingine!?
Na anayomsifia kwamba alikuwa anakula kuku sana,alikuwa anampa pesa za kutosha,alikuwa analalanaye guest za luxury yaani naunia mno why this? Nifanyaje jamani ili niwe huru nisiwaze jinamizi hili?