Nimepata mke JF lakini bado nina hofu naye sana kuhusu ex wake

We nae hebu be a man......
Mambo ya ex yanakuumisha nini, ukimjua anaemkaza sahivi si ndo utachizi???
Mwanambie na huyo mkeo awe na adabu anakusimulia ili iwe nini, kama alikua anakula kuku na kulala luxury guest kwanini alimuacha akaja kwako? Pambaffffff zake
 
Tutamsubiri huyo utakayembikiri wewe tuone
Mi nilishamalizaga kuoa zaman enz za kuoa bikra tena hakuna gem mpka mfunge ndoa,,wa siku hzi mnakulana miaka mitano ndio mnaenda kwa padre au shekhe,,huo si uhuni tu
 
Unachunguza/unasikiliza mambo yaliyopita ya mkeo kwasababu gani,,,,,anzia ulipompata ya nyuma hayakuhusu mkuu.
 
Habari za majukumu ndugu zangu!
Napenda kuwapongeza waliofungua/anzisha huduma hii ya jamii forum!

Kwa wale ambao huuliza kama kweli unaweza kupata mwenza humu nawaambia jibu in NDIO kwa maana Mke wangu nilimpata hapa na kilichonifanya kuwa naye mbali na comments za watu kuwa hapa hakuna mume/Mke mwema in kuwa watu wa hapa ndio watu wa mtaa pia niwaulize swali moja kwani mnadhani wanaiweka post zao humu wananchi yao tofauti?

So wote waliopo humu ndo haohao tuko nao mtaa wakiwa na majina mengine tofauti na title zao. Kwa sasa nina mke niliyekuta naaye kupitia jf tuna Mtoto mmoja very bright maisha yanaenda and she loves me dearly.

But nina tatizo naomba wana jf mnisaidie tatizo language ni 'trauma experience'/psychological banging' nina maana kuwa japo nimeishi naye miaka minne sasa likija suala la kuwa alishawahi kuwa na mtu wake huko mji Mkuu wa Tz napata presha moyo wangu unaumia sana bcoz of my "ego"

Niliweza kuwa naye baada ya kupewa ushauri na mtu kuwa kuoa mtu asiye bikira si tatizo kwani tunaishi kizazi ambacho usafi wa moyo hakuna na kwa jinsi kulivyo na maendeleo ya science na technology basi in vigumu kumpata binti bikira kwa hiyo nilifanya kinyume na matarajio/imani yangu.

Sasa wana jf naombeni ushauri nitavumilia halii mpaka lini? kwa sababu hata akianza kunisimulia mahusiano na ex wake moyo wangu unapasua na kujilaumu sana kwamba kwanini nilooa mwanamke aliyejuliwa na mwanaume mwingine!?

Na anayomsifia kwamba alikuwa anakula kuku sana,alikuwa anampa pesa za kutosha,alikuwa analalanaye guest za luxury yaani naunia mno why this? Nifanyaje jamani ili niwe huru nisiwaze jinamizi hili?
unamuuliza wa nini waliotangulia kumtafuna?Remember,"what you dont know does not hurt you"
 
Maisha tu hayo mkuu, unadhani amependa iwe hivyo?
usiusemee moyo kuna wanaume wameoa kwa michepuko kuku kila siku kwa mkewe dagaa kila siku.

Kuna wanaume wao wanakula nyama choma bar ila kwake vi vituko tupu.

Kuna wanaume ikitokea akanunua nyama kwa bahati mbaya anahesabu nyama ole wake zipungue wewe acha tu
 
Kwani wewe ukuwahi kuwa na mwanamke mwingine kabla yake na kwanini mnasimuliana mambo yalisha pita yanini akumbuke story za zamani mbona awakumuoa waliishia kumchezea tu
 
usiusemee moyo kuna wanaume wameoa kwa michepuko kuku kila siku kwa mkewe dagaa kila siku.

Kuna wanaume wao wanakula nyama choma bar ila kwake vi vituko tupu.

Kuna wanaume ikitokea akanunua nyama kwa bahati mbaya anahesabu nyama ole wake zipungue wewe acha tu
Katika vitu ninachohakikisha anapata my wife in lishe bora hata anashine kunakesi kadhaa hapa mtaa kuna wanaume wanamtaka kimapenzi so kuhusu menu mzee inasoma A to Z
 
nilivyoelewa huyu jamaa hana hela kuliko jamaa wa kwanza wa demu wake...pili atakuwa hamkuni vya kutosha mpaka demu anamkumbuka jamaa wake wa kwanza ....ndg kama huna mali jitume kitandani utamfunika mpinzani wako
 
Huyu kweli pesa hana arafu kitandani 0 utalia sana nakwambia
 
nilivyoelewa huyu jamaa hana hela kuliko jamaa wa kwanza wa demu wake...pili atakuwa hamkuni vya kutosha mpaka demu anamkumbuka jamaa wake wa kwanza ....ndg kama huna mali jitume kitandani utamfunika mpinzani wako
She always confess that she never had a kind of refreshment I give her
 
usiusemee moyo kuna wanaume wameoa kwa michepuko kuku kila siku kwa mkewe dagaa kila siku.

Kuna wanaume wao wanakula nyama choma bar ila kwake vi vituko tupu.

Kuna wanaume ikitokea akanunua nyama kwa bahati mbaya anahesabu nyama ole wake zipungue wewe acha tu
Hiyo bold kuna dingi mmoja ndio michezo yake, anafunga nyama zote sehemu moja na hamna mtu kuonja hadi akishiba ndipo wanakula mabaki... Sijawahi ona mjalaana kama huyu... Ila sijui wanaume wa sample hii wanaishije na familia...bt wahenga walisema kitanda usicholalia........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom