Kaanza kumtongoza dada wa kazi mi nipo kazini,kachukua hela alizobakiza dada wa kazi kutoka sokoni kaenda kununua sigara packet,kakaa sebuleni na boxer mpaka mtoto wangu karudi kutoka shule bado kavaa boxer hadi nimemkuta mimi nikamuuliza kulikoni ananijibu kuwa ametoka kuoga.tuandikie kwanza hivi vitimbi alivofanya ili tukupe mbinu nzuri na ya uhakika
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kaanza kumtongoza dada wa kazi mi nipo kazini,kachukua hela alizobakiza dada wa kazi kutoka sokoni kaenda kununua sigara packet,kakaa sebuleni na boxer mpaka mtoto wangu karudi kutoka shule bado kavaa boxer hadi nimemkuta mimi nikamuuliza kulikoni ananijibu kuwa ametoka kuoga.
Sent using Jamii Forums mobile app
duh aisee hilo ni jipu c unamuambia tu tabia zako APA sizitaki jitu ambalo linatembea na boksa ananiudhi sana yaani unakuta halioni aibu kabisaKaanza kumtongoza dada wa kazi mi nipo kazini,kachukua hela alizobakiza dada wa kazi kutoka sokoni kaenda kununua sigara packet,kakaa sebuleni na boxer mpaka mtoto wangu karudi kutoka shule bado kavaa boxer hadi nimemkuta mimi nikamuuliza kulikoni ananijibu kuwa ametoka kuoga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida yetu waTZ tunaogopa kuambiana ukweli,Yeye kama nikjana na bado atahitaji support kutoka kwako kaa nae chini mwambie mipaka na masharti ya kuishi nyumbani kwako,yaani Mimi nimecheka sana wakati nasoma hii thread yako wewe Nyumba yako na bafo unataka kuishi na woga,acha woga mwambie Dogo moja,mbili tatu akishindwa arudi kwao akaishi Kama anavyotaka yeye,Kuna kijana mtoto wa baba mkubwa kaja kunitembelea hapa nyumbani baada ya kumaliza form six wanasubilia selection za chuo ila huyu kafeli maana kapata four ya mwisho.Sasa nilichoudhika ni hili tukio nililolikuta home kwangu.Yaani nimekuta limekunywa Box zima la Heinken zangu na st.Anna za mke wangu ***** zake cha kushangaza sasa toto dogo nimekuta linakula sigara packet nzima tena sebuleni yaani hili toto lina siku moja limeanza kufanya hivi nimekuta sebuleni kumejaa moshi kama jamaika aisee.AISEE HILI TOTO NASIKIA BABA YAKE ALILEA KWA KULIDEKEZA NA KUNA TETESI HATA HUO MTIHANI WA FORM SIX HALIJAFANYA.WAKUBWA HEBU NISAIDIENI MBINU ZA KULITIMUA KWA SABABU NAHISI NIMETEMBELEWA NA PAMPULA NA SIO MGENI TENA.MBAYA ZAIDI HUYU DADA WA KAZI AISEE KANIHADITHIA VITIMBWI VILIVYOKUWA VINATENDWA NA HILI TOTO MPAKA MENGINE AIBU KUYAANDIKA.NIPENI MBINU WAKUU HAPA KWANGU ANA SIKU MBILI NATAKA NIMG'OE HAPA.
Sent using Jamii Forums mobile app