Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,703
- 8,481
Nilihitimu masomo ya shahada 2014, MUNGU saidia nimepata mdhamini wa masomo ya mastars USA ila nimeanza application za hicho chuo ila naomba nisaidiwe kujuzwa haya ka req za chuo husika
1. GRE: chuo kimesema ni lazima niwe na GRE ila wao wanataka 144 scores katika quantity part(MATH), with no minimum req'ments katika verbal part and analytical part,nmbushe akili nimejaribu kugugo izo math ni BALAA kwa kweli nimesahau mengi, je? hakuna namna yyte ya tuition za hii math pepa angalau nikumbushe akili maana math hainipigi chenga sana. hizo part 2 hata nikipata 0 chuo haiziitaji.
a) Tanzania niende wapi nikawaone
b) Kuna uwezekano wa kujisomea nikawin izo 144 scores kwa wenye uzoefu wa izo test
c) Gharama zake zinakwendaje (n.b; sijui chochote kile msinishangae)
2. TOEFL; chuo kimesema toefl si lazima sana ila kama sijafanya nitaenda kufanya kwao huko huko nikifika, hii nimethibitisha kwa kupiga simu chuoni kabisa wakaniambia hivo, ila GRE lazima nifanye huku huku wakanambia kila nchi ina vituo vya mitihani hiyo. sasa inawezekana kutofanya TOEFL KWELI? kinachonipa mshaka ni ubalozini wanaweza wakasema huna toefli, HILI LIMEKAAJE WAKUU?
3. Application fees wamenambia nalipia kwa credit card ambayo ni dola 70, hii ndo sijui pa kuanzia kabisa (niwe mkweli tu hapa)
4. Ni aina gani ya visa natakiwa nijaze maana application ya chuo imeniletea visa za aina 2, (J1 o F1)
Application deadline ni nov 1 ambayo semista inaanza spring season(mwezi wa 2 mwakani)