Nimepata Mchumba wa Kichaga, nimemkataa kwasababu wanaume wa wachaga hawapo vizuri kitandanii

Money Penny

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
15,921
14,820
Jana nyumbani TULIKUWA na family reunion, katika ongeaongea za hapa na pale tukamwuliza mdogowetu wa Miaka 39 anaolewa lini?

Mdogowetu: ah me bwana naona nizae Tu maana wanaume naowapata wote mapicha na masinema Sana Tu

Wadada: haya safari hii umempata Nani?

Mdogowetu: kuna mchaga mmoja ananisumbua kweli mwezi wa 6 sasa namkataa

Wadada: Huyo mchaga ana Umri gani?

Mdogowetu: Miaka 45

Wadada: mume WA mtu au mjane?!

Mdogowetu: hajaoa Ila ana mtoto mmoja

Wadada: sasa shida nene?!

Mdogowetu: bwana Kwan nyie shida ya wanaume WA kichaga hamuijui??

Wadada: hapana embu tuambie

Mdogowetu: sijui kuhusu wachaga wengine Ila wachaga wengi nimekutana NAO hawapo vizuri kitandani

Wadada: tenaaa?! Kwan ushazini nae?!

Mdogowetu: wala sihitaji, nilishawahi kuwa NAO huko nyuma wakanisumbua Tu nikaondoka na nyege zangu sirudii tena, sasa nawaza huyu bwana kama atanioa maisha ndo yatakuwa hayo hayo au?!

Wadada: maisha gani??

Mdogowetu: ya kitandani?? Yani siwafichi wachaga kitandani hawajui kitu, wao bao moja Tu kalala akijiongeza la 2, sasa Mimi halfcast nishazoea sarakasi na movement kibao kitandani naona nitamtesa bure.
Ndio wachaga wanajua kutunza MKE na watoto lakini kitandani bwana NI sifuri, ndio maana nimemkata.🙆

Wadada: tunaamini hujamwambia hivyo Baba WA watu, maana utamuua kisaikolojia na atakataa kuoa milele.

Money penny: mdogowangu, embu olewa bwana Corona ndio hii ishaisha tukufanyie SHEREHE kubwa, hayo mengine ya sarakasi mtafundishana Tu kwa upepo WA kisulisuli🔥

Wadada: wakacheka, wakaishia kusema kisulisuli hicho kwiyooooo 😂😂😂🏃🏃🏃

Money Penny: lakini mimi bado nikawa nawaza moyoni, huyu mdogowangu ni msichana wa 10 namsikia anawalalamikia wanaume WA kichaga hawapo vizuri kitandani,🙄

Je, kweli akina shimboni shafo, nashisha Mae, lakuchambe (wanaume WA kichaga) hawapo vizuri kwenye la tendo la ndoa?

Embu nipeni mrejesho wapendwa🏃🏃🏃

Ina maana wote walioolewa na wachaga Wana kilio hiki hiki au?! 🚶🚶🚶🚶🚶
 
Mwambie atukaushie huyo anamatatizo binafsi
miaka 39 bado kidogo hata kuzaa hataweza
Wachaga bora tuoe wachaga wenzetu hawa wengine wengi wao mawazo yao yote yapo kitandani
Kumbe we mchaga?! Embu tupe mrejesho, NI kweli kitandani nyie hamjui kitu?! 🙄🏃🏃🏃
 
Tatizo anatembea na wazee kwa sababu ya pesa. Vijana wa kichaga mbona tupo vizuri tu
Unataka aolewe na kijana WA Miaka mingap wakati yeye ana Miaka 39?!🙄😂😂😂😂
Kumbe na wewe mchaga?! Bao moja chaliii😂
 
Halafu nasikia iwe MWANAMKE wa kichaga,,,au MWANAUME ukimsikia anatamka YESU,,RUWI na MARIA wakati wa sex...,,ujuwe umemshika pabaya,,,hyo ndy PIN CODE nawapa WAKUU..ukimgegeda au ukigegedwa na Mchaga,,ukimsikia akitamka MANENO hayo ongeza speed za baiskeli ,,,,ushamgusa gololi..
 
Kweli 39 yrs yupo nyumbani she must be a disgrace
We mchaga embu jichanue utupe ukweli, je NI kweli bao moja ushalala chali kama.ndisi SA machalali?! 😂😂😂😂
Anaishi kwake, tafuta dictionary angalia maana ya family reunion nawe usijiaibishe🚶🚶🚶
 
Halafu nasikia iwe MWANAMKE wa kichaga,,,au MWANAUME ukimsikia anatamka YESU,,RUWI na MARIA wakati wa sex...,,ujuwe umemshika pabaya,,,hyo ndy PIN CODE nawapa WAKUU..ukimgegeda au ukigegedwa na Mchaga,,ukimsikia akitamka MANENO hayo ongeza speed za baiskeli ,,,,ushamgusa gololi..
Uuuuuuuwiiii ndooooooroooooboooooe😂😂😂
 
We mchaga embu jichanue utupe ukweli, je NI kweli bao moja ushalala chali kama.ndisi SA machalali?! 😂😂😂😂
Anaishi kwake, tafuta dictionary angalia maana ya family reunion nawe usijiaibishe🚶🚶🚶
Mbuzi zote tunazokula.tupihe bao moja tu. Anakutana na wachovu. Kwa umri alio nao ni uhakika anakutana na over age men pengine arround 50 to 60 huko. Hakuna kijana atachukua huyo over age woman
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom