Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,568
- 188,772
- Thread starter
- #21
Sijaharibu kabisa labda nimesaidia kupunguza idadi ya magoalKichwa Kichafu ndie aliyeitia nuksi timu yetu
Sijaharibu kabisa labda nimesaidia kupunguza idadi ya magoalKichwa Kichafu ndie aliyeitia nuksi timu yetu
comradeKaharibu sana...
Dakika ya 93 dr shika karudisha moja.magoli yanarudi..wametangulia kwa mkomkoteni hao!
Wamesema tuongelee mpira tu hayo mengine amesema tumsikilize mambosasaUmetisha kwa utabir wako,mkuu saidia pia kwa mo
Aisee! Nimeona mkuu, hii stars ni ovyo kabisaOdds nimetupa kule ila umeona kichapo mkuu
Yajayo yanafurahisha.Aisee! Nimeona mkuu, hii stars ni ovyo kabisa
Cape verde ni wabovu ila team yetu ni mbovu zaidiSema cape verde ni wakawaida sana wacha tusubir uwanja wa taifa
Hakuna team hapa hata ikicheza na wanawake inafungwa hii teamAaaaaaaaah. Tushabakwaaaaaaaaa