He! yaisheww unaweza kuwa na urafiki namie kabisaa?
He! yaisheww unaweza kuwa na urafiki namie kabisaa?
never ever forever it cant be possibleHee! Kwa nini mwenzetu? Kuna rafiki yangu mmoja huwa haamini kama kuna urafiki kati ya mwanaume na mwanamke!
haujanijibu bado?He! yaishe
Japo sikuoni lakini nimehisi kama vile umewachukua akina mama ndio maana nimetoka ndukihaujanijibu bado?
Hahaha na we unamwambia nimeona samaki wazuri mto msimbaziUrafiki wa nini ?
Mnachati tuu, sms ya tatu ashakwambia anadaiwa kodi, mara kaona kitu kizuri mlimani city...
Mh!!!?MIE URAFIKI NA MWANAMKE HAPANA
mbona waguna mrembo?Mh!!!?
Na mimi naomba urafiki basiNdio hivyo, sijampata mchumba niliyekuwa namtaka ila nimepata marafiki, nashukuru na asante JamiiForums