Nimepata majanga, nauza godoro la Tanfoam premium kwa bei ya hasara, ni jipya

Godoro la Tanform Premium linauzwa Tsh 180,000/= bei ya hasara. Limetumika mwezi 1, bado jipya kabisa. Ni "5x6. Kwa mnaoelewa Godoro hili basi mtachangamkia fursa. Njoo inbox (SERIOUS BUYERS ONLY).l
Chukua 140000 kma inawezekana ni PM kesho nikupe Mzigo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom