Panzi Mbishi
JF-Expert Member
- Mar 8, 2021
- 2,344
- 3,024
- Thread starter
- #41
Kautani ila kanaumaMbona mm nagonga kavukavu sipati hayo makitu. Umeathirika wew
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kautani ila kanaumaMbona mm nagonga kavukavu sipati hayo makitu. Umeathirika wew
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Wadau habari, Ni matumaini yangu hamjambo. Nimejileta kwenu ili nipate utatuzi wa changamoto ya kiafya inayonikabili. Ni karibu wiki sasa nasumbuliwa na aina fulani ya kidonda juu ya uume.
Kwanza nilianza kuhisi maumivu kidogo suruali inapogusana na kichwa cha uume nikadhani nimepata michubuko ya kawaida sikujichunguza.
Baada ya siku kama tatu ndio nikahisi hali si kawaida nilipotazama nikaona kimeenea karibu robo ya eneo la juu ya kichwa cha uume.
Naomba kufahamishwa tatizo linatokana na nini na ikiwa kuna tiba zake nitashukuru wakuu.
Natanguliza shukrani!
Umefila mwanamme mwenzio nini, hii ni moja ya lana yake au la changudoa uliyemnunua Manzese ni mchafuWadau habari, Ni matumaini yangu hamjambo. Nimejileta kwenu ili nipate utatuzi wa changamoto ya kiafya inayonikabili. Ni karibu wiki sasa nasumbuliwa na aina fulani ya kidonda juu ya uume.
Kwanza nilianza kuhisi maumivu kidogo suruali inapogusana na kichwa cha uume nikadhani nimepata michubuko ya kawaida sikujichunguza.
Baada ya siku kama tatu ndio nikahisi hali si kawaida nilipotazama nikaona kimeenea karibu robo ya eneo la juu ya kichwa cha uume.
Naomba kufahamishwa tatizo linatokana na nini na ikiwa kuna tiba zake nitashukuru wakuu.
Natanguliza shukrani!
Ipo siku yakoMbona mm nagonga kavukavu sipati hayo makitu. Umeathirika wew
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mtoa mada una elimu gan mbona naona uko mweupe sana...hiv kwel mtu mzima unaweza kua hivi.?.jitafakar ma chkua hatua....unaenda dispensary za uchochoron kupima vipimo vya maana kama hvyo?..kwann wasikudanganye tuu wale hela ya vipimo na dawa?..usipobadilika utapotea..unashindwa hata ku google symptoms za matatzo uliyonayo?..unafikia hatua had ya kupata kidonda..maana wadudu wametengeneza kolon kabisa ndan ya mwil wako..maana hata dawa unazopewa si zenyew..na unakuja hapa unasema sasa ushatumia dawa nying na umechoka....aisee usipotumia akil yako vizur..maradh yatakutalawa...tumia akil yako ..na jionee huruma kijanaHospitali ya kwanza nilipima damu tu wakasema haina shida wakahisi ni pneumonia wakanipa dawa maana nilikuwa nasumbuliwa na homa, Hospitali ya pili walipima damu tu pia wakanipa dawa bila kusema tatizo, Hospitali ya tatu wakapima damu, mkojo na haja kubwa, Damu na mkojo vikaonekana salama sasa sijui waliona nini kwenye haja kubwa wakasema huenda ni amoeba nikapewa dawa, Namaliza dozi tu ndio naona kidonda
Umepona kwa dawa gani?Mrejesho: Wakuu nilishapona
Asanteni sana kwa ushauri wenu
Kuna mdau ametaja hapo juu dawa fulani nahisi ndio nilizopewa maana sizikumbuki tena majina ikiwemo tube ya kupaka na sindano moja tu matataUmepona kwa dawa gani?
Nahisi ni hizi, Nashukuru ulizungumza nilichopewaHebu tuma picha ya hilo bichwa.
Otherwise
Rx
Gonga vidonge vya acyclovir 2x3 siku 5
Acyclovir cream pakaa 2 times a day
Gonga flukocin 1x3 siku 5
Mupirocin cream apply
Halafu urudi hapa.
Na kama ni fungus tafuta dawa za fungus.
GoodNahisi ni hizi, Nashukuru ulizungumza nilichopewa
Polee unawapenzi wa ngapi ? na kama unampenzi mmoja ,, je mpenz wako anakidonda au mchubuko sehemu kama kwenye vigina au mdomoni na kam ndio utakuwa na ugonjwa wa syphilis tena hataua ya kwanza ya ugonjwa uwo ,, zipo hatua tatu nakushauri uwende hospitali wambie wakupime kipimo cha. Syphilis ili uwanze dose isije ika progress futher moreWadau habari, Ni matumaini yangu hamjambo. Nimejileta kwenu ili nipate utatuzi wa changamoto ya kiafya inayonikabili. Ni karibu wiki sasa nasumbuliwa na aina fulani ya kidonda juu ya uume.