Nimepata kazi

Nimepata kazi

Duh! Baada ya kusota sana mtaani hatimae nimepata kazi. Ndugu zangu tusikate tamaa kuapply ipo siku utapata. Nilifanya oral na written interview sijahonga wala nini nina diploma ila nimeongoza interview zote tukichuana na wenye degree. Nashukuru wanajamii kwa yote. Confidence ni muhimu sana kuelekea kufaulu usaili japo so kwa asilimia mia moja.

Hongera mkuu.hujatuambia kazi gani mkuu
 
Duh! Baada ya kusota sana mtaani hatimae nimepata kazi. Ndugu zangu tusikate tamaa kuapply ipo siku utapata. Nilifanya oral na written interview sijahonga wala nini nina diploma ila nimeongoza interview zote tukichuana na wenye degree. Nashukuru wanajamii kwa yote. Confidence ni muhimu sana kuelekea kufaulu usaili japo so kwa asilimia mia moja.

Hyo kazi ilikuwa inataka diploma au degree??? maana naona mwishon umejtapa kuwa umewashinda wa degree

anyway hongera
 
Kupata kazi sio kuongoza interview bado kuna vigezo vingine vinaangaliwa mzee. Unaweza ukaongoza interview na ukapigwa chini. Mshukuru mungu umepata kazi na wacha majigambo. Degree ni level nyingine mzee

Sijamuelewa pia degree imeingiaje hapo,kwanza degree na diploma ni tofauti ndio mana mwenye degree atalipwa zaidi ya wewe utakacholipwa.
Kama na wewe unataka kua degree simple tu,rudi shule
 
Degree bongo?

kuna mtu hapo juu amekuuliza swali zuri sana, kuwa hiyo kazi ilikuwa inahitaji mtu wa shahada au stashahada?
Okay any way, umewashinda watu wenye degree, SO WHAT?? Tukupe zawadi?? Au ngoja tukupigie makofi!! Hekima inahitajika sanaa! Themes yote ya ujumbe wako umeiharibu ww mwenyewe!
 
Degree bongo?

HAPO NDIO UMEFUKA KAMA SIGARA INAYOUNGUA, DEGREE NI DEGREE TU HUWEZI KUIBADILI. Suala la msingi umepata kazi sio kuwashinda wenye degree. Fanya shukrani kwa Mungu wako sio kuleta majigambo hapa. Interview huwa tunaangalia vitu vingi sana sio uwezo wa kushinda interview. Nipe email yako nikutumie "Recruitment and Selection Process" usome, kutoka kwenye Principles and Practises of HR. Waliosoma HR wanajua hzo mambo
NARUDIA TENA, MSHUKURU MUNGU WAKO SIO KULETA MAJIGAMBO HUMU
 
Uje nikuelekeze matumizi yake. Usisahau fungu la kumi kwa Mungu na sio Guest na pombe
 
kazi za IT assistant ni kwa diploma na si degree na ndo maana huyu dogo mungu alimnyima principle za kwenda kupata degree kwa sababu angepata kwenda kusomea degree kwanza angefeli, maana inawezekana hiyo writen iligusa kwenye level yake lakini bado anajitapa,hajui utaratibu wa kazi anaweza ishia kwenye probabetion period kama hajui.
 
Labda alisemea degree ili kuwapa nguvu wenye diploma wasikate tamaa au kushindwa kujaribu kwa kuogopa level ya elimu,ila kama ni tofauti na hapo,kijana umekosea sana!!utaelewa haya unayo ambiwa ukiwa kazini.
Kuhusu kupata kazi,kuna vigezo vingi vinatumika,huenda we ndo ulikua cheap labour compared na ulioshindana nao thats y ukachaguliwa.
 
Back
Top Bottom