Nimepata Jack Daniel....

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
...........
 

Attachments

  • jack daniel.jpg
    39.5 KB · Views: 467
hao ni walevi wangekuwa wanywaji tu wasingekuwa hivyo.... hiyo kitu nzuri sana haileti kitambi.
 
Mie nadhani kifuatacho baada ya hizo njemba kuamka ni 'mtikisiko wa ubongo'.
 
iyo mixer mtu lazima uangushe gari
 
...........

Picha inaonesha wamefakamia zaidi Valour! Jack Daniel isingewafikisha hapo kama msingeiharibu kwa kuchanganya na Valour!

Pombe siyo chai kwa kweli!
 
Hawa ni Makomba mchanganyiko namana hiyo!
Waache wanywe wasahau matatizo yao.lol!
 
Hamna kitu nachukia duniani kama hii ningekuwa na uwezo ningebadili mitambo yote ya kutengeneza pombe iwe ya juisi au hata maji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…