St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,991
- 5,234
St Paka Mweusi yuko wapi?
Naona kama anahusika hapa.
Kavu Kuutii!
wambie wanao endelea kuku pm waje kwangu:eyebrows:
na mm nataka hawara!!
Yaani ruttashobolwa na Asulo nyie wabaya sana lol.....mnampa hongera mwenzenu kwa kupata 'hawara'(nalichukia hili neno) khaaa!!!
Una hofu gani mkuu,wakati wewe unao kibao humu?
Mama sasa unataka kunitangaza hadharani namna hii, hebu turudi kulekule PM tukaendelee we unafikiri mi siogopi wambea wa humu, hawakawii kumshitua mumeo kisha ikawa tabu kabla watu hatujachoka kufanya siri..
Wewe ulikuja humu kutafuta hawara,amejitokeza;umtaje tumjue!
Chelian hebu ni PM fasta mi nimetulia na nipo single boy.
Naona unamtafutia mtu kifo cha Ghafla...Au wewe ndio mume mwenyewe..
Wewe ulikuja humu kutafuta hawara,amejitokeza;umtaje tumjue!
ôkwani humu nako mtu anaweza pata hawara eee?? lol, jamani hawara na kimada vina tofauti gani?
ô
Advanced oxford dikshenare:
Hawara: mwanamke/ mwanaume ambaye mnakulana kimagirini nje ya ndoa,unapiga/unapigwa unarudi nyumbani kimya kimya.
Kimada: nyumba ndogo,anajengewa/analipiwa kodi,anakupikia,anakufulia,anakuzalia,it is a highest form of uhawara.Kwa mfano Lizzy ni kimada wangu wakati Kongosho ni hawara wangu tu,umeelewa?
nilijua tu usipokatiza kwenye hii topic basi jf itafungwa