Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,304
- 29,835
Mungu yumwema hatimae naenda Kwa wakoloni kuhudhuria semina maalum iliyotolewa na global alliance on health and pollution, hata hivyo tutakwenda kujifunza mbinu za utunzaji wa mazingira, uimarishwaji na ushirikishwaji wa jamii zinazotuzunguka ikiwemo wa kulima na wafugaji ktk kutunza mazingira yanayowazunguka
Mbali nahapo tutakwenda kuseminishwa juu ya uthibiti na utungwaji wa sheria rafiki juu ya uharibifu wa mazingira. Nimejipanga mambo yafuatayo kwenda kuongea mbele ya Baraza
1. Ukataji wa pori la selous umeleta maafa ya hali ya hewa ikiwemo kutokunyesha mvua hali iliyopelekea kukatika Kwa umeme maana umeme wetu niwamaji.
2. Serikali kuwekeza pesa nyingi kwenye siasa za kupamba Chama tawala badala ya kuwekeza kwenye kupanda Miti na usafi wa Mazingira.
3. Ujenzi holela wa makazi ya binadamu, hii ni kutokana na Sera mbovu za Chama cha mapinduzi kutokuweka mpangilio bora wa kamazi badala yake wanawabomolea wananchi nyumba bila kuwapa elimu ya nyumba na makazi
4. Ukosefu wa demokrasia makin, ukaidi na kiburi cha ccm kutokuruhusu katiba Mpya itakayoweka mipaka ya madaraka ya kisiasa ili kusudi kiongozi atakaechangia kuharibu mazingira atapigwa harsh penalty, magufuli ni mfano halisi alikata pori la mbuga ya Selous pamoja na kukatazwa na mashirika ya kimataifa
Ndohayo tu, tuombeane nisafiri nifike salama