henry mathayo
Member
- Jul 18, 2017
- 16
- 6
Enzi za JK ungepeta sana kwani hadi EES walienda vyuoni na mikopo walipata, ila kwasasa andika maumivu mkuu. Subiria hadi 2025. Au tumia cheti cha form four usomee kozi unayotaka uanzie chini hadi ufikie shahada kama ndio lengo. Au rudia mtihani.
Kumbuka pia matokeo ya sasa GS na BAM nayo wanaweka grade A,B,C,D,E,S,na F na wanazihesabu katika kutafuta division.Enzi za JK ungepeta sana kwani hadi EES walienda vyuoni na mikopo walipata, ila kwasasa andika maumivu mkuu. Subiria hadi 2025. Au tumia cheti cha form four usomee kozi unayotaka uanzie chini hadi ufikie shahada kama ndio lengo. Au rudia mtihani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kisa wewe umefauru sindio
dah aya bana ila c rahisi kama ww unavyozani.Dogo unacm Kali alafu unaomba msaada! Uza simu ufuge kuku au ulime bustan ndani ya miaka miwili utasoma chuo Unachotaka!!!!
sio EES, Mkuu the world is not fair nilishuhudia watu na ESS chuo kikuuu afu na chupa za maji kilimanjaro wakiwa masomoni.. inaumiza sana afu leo dogo huyu kajitahidi DDE hapati chuo, kama vp waanze kusafisha hadi makazini kuweka usawa. lasivyo waachane na mambo ya uhakiki.Enzi za JK ungepeta sana kwani hadi EES walienda vyuoni na mikopo walipata, ila kwasasa andika maumivu mkuu. Subiria hadi 2025. Au tumia cheti cha form four usomee kozi unayotaka uanzie chini hadi ufikie shahada kama ndio lengo. Au rudia mtihani.
Sent using Jamii Forums mobile app