Umeamua kuweka rehani maisha yako sababu ya kusafiri?
Hongera mkuu.
Mkuu,Watanzania wajuaji sana kumbe kichwani hamnazo.
Chanjo zingine ok.
Imefika hatua ya chanjo ya corona wameanza mara eeeh mzungu anataka kutuua
Kwema wadau,
Kwa hiari yangu, bila kushurutishwa au kupata ushawishi wowote kutoka kwa mtu, nimechukua chanjo ya Covid-19.
Kuna aina nyingi za chanjo, ila mimi nimechukua Johnson & Johnson (sina uhakika na spellings)
Kwanini Johnson & Johnson, ni kwasababu mimi ni muoga wa sindano sana sana, ivyo ukichukua izo haina nyingine za chanjo lazima uchomwe mara 2 kumaliza dozi. Unachomwa alafu unasubri wiki 2 or 3 ukachomwe tena kumaliza dozi.
Johson & Johson unachomwa mara moja tu umemaliza, ila efficient yake n 66% wakati nyingine ni mpaka 90%.
Lengo kuu la mimi kupata hii chanjo, kwanza ni kupata kile ki-card ili niwe huru kusafiri, tunapoelekea vitahitajika ukiwa una cross boundaries.
Ujue Mungu kakupa utashi wa 99% kuchagua baya au zuri, ila ukisema 'itakulazimu tu kuchanjwa' kisa shetani yupo kazini unakosea sana tena sana.Mkuu chanjwa tu ili watoto wapate chochote kitu maana hata ukikataa mbeleni huko hutaweza kupata huduma yoyote bila chanjo..na itakulazimu tu kuchanjwa yaani.. SHETANI YUPO KAZINI...
Yaani Magufuli alishaziharibu akili za Watanzania wengi.Mkuu,
Siyo unuaji ni ujinga uliopitiliza,haya Matàga simu ,chupi ,vyakula yanauofaa zote zimeyoka kwa wadhungu,kwenye mapaji na pembeni ya mabega Kuna Alana za chanjo,hizo hawailizi.
Mataga yamaulizana eti hii mbona imewahi? Yànashindwa kujua kwa Sasa Dunia imekua ni kitu kimoja,zamani ulitaka kupigwa simu Hadi uende Postal na Simu,Barua ulitaka kuituma Hadi mwezi mmoja ndiyo inafika.
Kila la kheri,mimi bado bado sana...Kwema wadau,
Kwa hiari yangu, bila kushurutishwa au kupata ushawishi wowote kutoka kwa mtu, nimechukua chanjo ya Covid-19.
Kuna aina nyingi za chanjo, ila mimi nimechukua Johnson & Johnson (sina uhakika na spellings)
Kwanini Johnson & Johnson, ni kwasababu mimi ni muoga wa sindano sana sana, ivyo ukichukua izo haina nyingine za chanjo lazima uchomwe mara 2 kumaliza dozi. Unachomwa alafu unasubri wiki 2 or 3 ukachomwe tena kumaliza dozi.
Johson & Johson unachomwa mara moja tu umemaliza, ila efficient yake n 66% wakati nyingine ni mpaka 90%.
Lengo kuu la mimi kupata hii chanjo, kwanza ni kupata kile ki-card ili niwe huru kusafiri, tunapoelekea vitahitajika ukiwa una cross boundaries.
ShkrnHongera
Ndiyo mkuu[emoji16]Umeamua kuweka rehani maisha yako sababu ya kusafiri?
Hongera mkuu.
Sijajua ila ...information zako zinaingizwa kwenye system, namba ya chanjo pamoja na aina ya chanjoVipi huwezi kuvipata hivyo vicard vya chanjo kimagendo?
Kwanini mkuuMadalali wakiwa kazini
Mimi nashangaa...mzungu angetaka kukuua, angekuua kwenye ARV,kwenye dawa ya malaria nkWatanzania wajuaji sana kumbe kichwani hamnazo.
Chanjo zingine ok.
Imefika hatua ya chanjo ya corona wameanza mara eeeh mzungu anataka kutuua
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Japo tunakufa ila wewe utatangulia mbele kidogo
Hapana siyo Tz......gharama ni bure....ki card hakina expired datemkuu hiyo chanjo umeenda kuchomwa wapi hapa tanzania?
Gharama yake ipoje?
na je nikisha chomwa hiyo sindano naweza safiri safari ngapi?
Boss mbona ume panic, chanjo si lazima, unaamua wewe...infact sijapatiwa chanjo Tz.Dalali lipo kazini kuwalaghai watu wakadungwe machanjo yenye sumu.
Unajifanya eti haujui spellings za chanjo!
Mburula kweli wewe!
Kadungwe wewe na mmeo, achana na watanzania!
[emoji16]Umeshageuzwa toi!
tayari kuna watu wengine wanaweza ku control hiyo body...
nakutania ww hongera
Una watoto?Kwema wadau,
Kwa hiari yangu, bila kushurutishwa au kupata ushawishi wowote kutoka kwa mtu, nimechukua chanjo ya Covid-19.
Kuna aina nyingi za chanjo, ila mimi nimechukua Johnson & Johnson (sina uhakika na spellings)
Kwanini Johnson & Johnson, ni kwasababu mimi ni muoga wa sindano sana sana, ivyo ukichukua izo haina nyingine za chanjo lazima uchomwe mara 2 kumaliza dozi. Unachomwa alafu unasubri wiki 2 or 3 ukachomwe tena kumaliza dozi.
Johson & Johson unachomwa mara moja tu umemaliza, ila efficient yake n 66% wakati nyingine ni mpaka 90%.
Lengo kuu la mimi kupata hii chanjo, kwanza ni kupata kile ki-card ili niwe huru kusafiri, tunapoelekea vitahitajika ukiwa una cross boundaries.
shukran kwa taarifaHapana siyo Tz......gharama ni bure....ki card hakina expired date