Gushleviv
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 3,437
- 5,146
Saivi washatoa "Android 10-Q" !! Yaani android developers wanatapatapa sana mtu leo unanua simu lakini hayo ma update simu inakuwa outdated ndani ya muda mfupi sanaa. Mtaalamu Chief-Mkwawa hebu tufafanulie hii imekaaje? Binafsi naona kama ni mbinu za kibiashara zaidi kuliko mahitaji ya msingi. Na hili ndio limenifundisha kuchukia android OSJana nilipata notification kuwa android 9 ipo tayari kwa simu yangu (Samsung galaxy S8) nikaweka kifurushi kisha nikapakua na ku install updats.
Kweli simu ikapanda toka android 8 to 9. Pia features kibao zimebadirika ikiwa muonekano na baadhi ya mipangilio.
Ila kuna features za msingi sana zimekuwa discontinued, hii imeifanya simu kuwa ya upweke sana
View attachment 1036737
Kuna vitu kama mult tasking sivioni kabisa, na pia Navigation buttons hazivutii kabisa.
View attachment 1036742
Home button, back button zimekuwa hivyo. Sio za kubonyeza, unaswipe juu kidogo ndio zinafanya kazi
System Tray imekuwa na mvuto kidogo sio kama ya mara ya kwanza
View attachment 1036746
Pia Dolby atmos imeongezeka na kuleta ubora wa sauti na diferent Reverb venues
View attachment 1036747
Pia notifications bar nayo imekuwa poa sana. Ina match na edge screen
Nitazidi kuleta mrejesho kadili ninavyozidi kuichunguza simu