Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,396
Nenda
Nenda kwenye menu, halafu software update kama una samsung,check kama kuna update, baadae itaanza kudownload. unatakiwa kuwa na bundle ya kutosha kwa sababu ni kubwa kama 2GB, then itakupa maelekezo nini cha kufanyaHeshima kwako mkuu! Naomba elimu ya jinsi ya ku ugrade manually to android 9. Nina android 8.1. Natanguliza shukrani