Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,913
- 67,435
Ila unatesaUsafiri wa boda ni rahisi na haraka kufika...
Ila rahisi ni ghali...
Ndio mwalimu wngu kipofuKwa hiyo umegoma kabisa kuzingatia kanuni za uandishi?
Muulize kama biringanya halijabasti 😂Pole sana kijana, najua umechapia sana uandishi kwasababu ya maumivu ya vidole...😶
Pole tena kijana wangu, vipi msuli ulipo anguka hakuna kilicho onekana..🤔
Nini?Hiyo sio ajali
Pole sana kwa ajali, kikubwa bado u mzima.Ndio mwalimu wngu kipofu
[emoji23]Pole kwa hilo chief.Japo haikuwa muhimu kutueleza kwani hatuna msaada wowote hapa.
[emoji23]Nimeshindwa kusoma uzi wote, lakini nahisi umepata head injury, akili zimekuruka kidogo.
Duh aiseeLeo temboni mwendokasi imewaburuza boda na abiria wake , watu kama wanne wakaaacha uhai pale pale , boda too risk , Bora bajaji Kwa kweli
Nini?Hiyo sio ajali
Kawavalia msuli, akawamwagia radhi...🤣Pole sana kwa ajali, kikubwa bado u mzima.
I hope ndani ya msuli ulivaa kitu.
Pole kwa hilo chief.Japo haikuwa muhimu kutueleza kwani hatuna msaada wowote hapa.