Mayor of kingstown
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,921
- 4,216
Ukimwi pia una huruma kwa watu kama nyie usiwe na wasi
Eeeh ndiyo,lakini haina kingaLakin ni ajali tu nimepata
Ulipiga Bao ngapi mkuu?Leo nilikua maeneo ya sinza nikijipongeza na moja moto moja baridi baada ya kumaliza majukumu yangu ya kila siku.. baada ya kinywaji kunikolea nikaona isiwe tabu acha nipate burudani ya penzi ndipo nikachukua dada poa na kwenda nae gest.. kwa jinsi nilivokua nimekamia game nilisukumiza mkunyenge kwa pupa bahat mbaya condom ikapasuka ila sikujali sababu utamu uliongezeka ila sasa najutia kwani yule dada hajaonesha waswasi wowote baada ya kuona condom imepasuka
Naombeni msaada hata wa mawazo wakuu nifanyaje ili nizuie maambukizi kama yapo ,naogopa kupima
Hyo n moja wapo ya faida ya stimulantLeo nilikua maeneo ya sinza nikijipongeza na moja moto moja baridi baada ya kumaliza majukumu yangu ya kila siku.. baada ya kinywaji kunikolea nikaona isiwe tabu acha nipate burudani ya penzi ndipo nikachukua dada poa na kwenda nae gest.. kwa jinsi nilivokua nimekamia game nilisukumiza mkunyenge kwa pupa bahat mbaya condom ikapasuka ila sikujali sababu utamu uliongezeka ila sasa najutia kwani yule dada hajaonesha waswasi wowote baada ya kuona condom imepasuka
Naombeni msaada hata wa mawazo wakuu nifanyaje ili nizuie maambukizi kama yapo ,naogopa kupima