Nimepata ajali, niombeeni wana JF

Pole sana ndugu
 
Pole sana mkuu na Mwenyezi Mungu akupe wepesi wa kupona haraka, ili maisha yako yaendelee, naomba ujifunze hapa ili yasijirudie, put pressure kwa Mbunge wako ili hizi barabara ziwe na CCTV, pia kujengwe speed cameras 📷, na mkuu jitahidi to invest on cameras kwenye hiyo bajaji yako, pole.
 
Ahsante
 
Pole sana! Kama umesahau rangi ya gari, basi soma tena uzi wako, maana umeitaja hapo!
 
Pole memba, Mungu akuponye majeraha na urudi kuchapa kazi
 
Pole sana mkuu.
Halafu kuwa makini na hiyo njia mida ya asubuhi.
Hiyo njia kuanzia kibada mpaka roundabout ya hapo mnadani kuelekea darajani asubuhi mida kama hii ninayo andika uwemakini sana.. Watu waaovateki bila wasiwasi wowote na imekuwa kama ndio kawaida sasa.
Kana huelewi utadhani wapo kwenye barabara ya njia mbili zinazokwenda sehemu moja.
Watu wanawahi makazini kuwa makini sana usishindanenao.

Kama unatumia hiyo njia kilasiku asubuhi unaelewa ninachoongea.

Pole sana.
 
Yeah yeah sawa Boss
 
Pole sana,
Ufike hospital kwa vipimo zaidi,

Hiyo barabara siku ya Jumatatu watu wanakuwa na wazimu wengi wametoka kukesha kwenye mabar hapo kalewa halafu ana drive na bado litaenda kazini.

Dah! Ningekwambia uzungukie gereji kadhaa uchunguze gari ya Alteza itakayoenda kupatiwa huduma kwa wiki hii yote.
 
Sawa mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…