Nimepapenda Dodoma

kati ya miji bora niliyoipenda, Dom ni mojawapo. usalama, biashara n.k. kwa mwenye akili anajua hili.
 
Nipo dom kwa shughuli za ufugaji na kilimo.

Aisee mji wenu unakua kwa haraka.

Ila ka upepo ka baridi asubuhi kamenitingisha kidogo.

Naiona Ndoto ya Nyerere ikitimia.

Hongereni.
Pazuri kiasi chake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…