nimepangwa serengeti

Acha Dhambi

Senior Member
Oct 19, 2010
145
41
kwa wale tulio pangwa serengeti mara mi mmoja wao tuwasiliane hapa. na yeyote mwenye kuijua vyema atusaidi ili tuende tukiwa na (prior information) na je ni kweli kuwa kuna maeneo wanyama hatari wanavamia makazi?
 
Hebu eleza vizuri maana Serengeti ni kubwa umepangiwa kituo gani?.Karibu sana mwanaJF mwenzangu usihofu mimi ni mwenyeji sana huko kila kona ya wilaya hiyo nitakuzungusha ila kwa sasa niko safarini nchini Kenya nitarudi huko baada ya wiki chache utakuwa huko baada ya muda gani?
 
kituo bado sijakijua lakini nitakuwepo huko kuanzia tarehe 2 mwezi wa pili
 
Duh!haki ya Mungu!kule ni pori ajabu,hakuna mitandao ya cm wala nn,usafiri ndo usiseme,shida sana!mfano hakuna gari ya kuaminika ya mwanza,musoma hata Arusha!nenda tu lakini japo nakuonea huruma!ukifika Arusha nitafute,nikupatie gari la watalii au jiandae kupanda kimotco!uko wapi kwanza?
 
Kuwa muungwana unapo changia maada sio kukurupuka tu ionekane umechangia mwenzako ameuliza kwa nia njema ili apate picha ya huko aendako wewe unakurupuka na huo uozo wako kama umelazimishwa kuchangia .Basi zote ziendazo msoma COASTLINE,MANKO EXPRESS,KIMOTCO huwa zinabeba nyumbu na kuishia porini bila kufika mjini? We sema unafanya biashara yako ya udarali wa usafiri hivyo umeona dili lisikupite.Ndugu Acha dhambi ondoa shaka yote aliyokudanganya kuwa hayapo yapo tena kwa wingi.Ukiondoka asubuhi ya saa 12 Serengeti unafika jijini mwanza saa4asubuhi, Pindi utakapokuwa tayari kuanza safari niPM nikupe njia rahisi utakayoitumia toka mahali ulipo.
 
kwa wale tulio pangwa serengeti mara mi mmoja wao tuwasiliane hapa. na yeyote mwenye kuijua vyema atusaidi ili tuende tukiwa na (prior information) na je ni kweli kuwa kuna maeneo wanyama hatari wanavamia makazi?

Serengeti iko poa sana aise
Wala hilo tishio halipo bana
We jua kwanza kituo na ndo uwajuze wadau hapa watakupa information zote unazotaka
 
We nenda kakomae mkuu hizo challenge zipo kila sehemu sema 2 zinatofautiana.
 
Duh!haki ya Mungu!kule ni pori ajabu,hakuna mitandao ya cm wala nn,usafiri ndo usiseme,shida sana!mfano hakuna gari ya kuaminika ya mwanza,musoma hata Arusha!nenda tu lakini japo nakuonea huruma!ukifika Arusha nitafute,nikupatie gari la watalii au jiandae kupanda kimotco!uko wapi kwanza?

dah...mkuu....hiyo ni Serengeti ya wapi.....? au ziko mbili....?
inawezekana kuna nyingine imeanzishwa wazalendo hatujaisikia..........

The world's best hotel (Singita Grumeti Reserves) iko huko huko. Sio mbali sana na Musoma mjini. Kuna watu kibao hapo Mugumu wanaendesha maisha kama kawaida hivyo usitishwe na mtu.
 
Dadangu pia amepangiwa huko serengeti, mpaka sasa 2namshawish aende, 2kifanikiwa basi utakua nae huko acha dhambi.
 
Mbona we Dafii akili yako imekaa kifacebook facebook??sana watu wanaongelea maswala ya msingi we unaingiza utani kumbe ndo maana ulikuwa unamwambia jamaa akifika AR akutafute!!!!!!!!Nenda jukwaa la Jokes/udaku ndo saiz yako.
 
Back
Top Bottom