Nimepangiwa Chuo Ila Kunadalili Za Kutosoma!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimepangiwa Chuo Ila Kunadalili Za Kutosoma!!!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Hasson Da Melles, Aug 23, 2012.

 1. H

  Hasson Da Melles Member

  #1
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni Kutokana Na Bifu ambalo Baba yangu Mzazi amelitengeneza Tangu askie kuwa Nimepangiwa Bachelor of Arts in
  Public Relations and Marketing at
  St. Augustine University of
  Tanzania
  anadai Niachane Nayo eti Niombe Mweka Mwakani....je Sikuoneana tu Huku!!!
   
 2. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Huyo Baba yako kama alikuwa ana mpango wa wewe kusoma Mweka kwa nini asingekuambia mapema?Lakini bado una nafasi ya kujadiliana nae, mtaka cha uvunguni ndugu yangu....!Angalia Chuo kisikukosanishe na Baba yako,mkae muongee, kama unaipenda hiyo kozi ya SAUT endelea kumshawishi.Kila la kheri
   
 3. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #3
  Aug 23, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,864
  Likes Received: 4,708
  Trophy Points: 280
  Heh Baba anatengeneza bifu kweli pole zinakuhusu kaka, ongea nae mtaelewana tu!
   
 4. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #4
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Aiseee baba yangu huyo baba yaako kaishia langapi??? Ili 2kushauri vizuri
   
 5. H

  Hasson Da Melles Member

  #5
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  alifika hadi Form 5 Ndipo akaachaga Shule...
   
 6. H

  Hasson Da Melles Member

  #6
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kweli Mdingi Kaninunia Hadi tokeo Naliona chungu......
   
 7. H

  Hasson Da Melles Member

  #7
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yapp ndio Hapo Sasa....na Kinachoniuma Zaidi Mweka coz za Degree ni Dolla 3800 na zaidi....
  sasa mi Nadhani Ananipiga Sound Ili Asinisomeshe Kabisa ...
   
 8. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #8
  Aug 23, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Endelea kumshawishi mdogo wangu usikate tamaa,tumia hata rafiki zake
   
 9. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #9
  Aug 23, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  wewe ipycalypse baba yako nae si alikuchagulia kombi ulivyokuwa advance!
   
 10. ze duduz

  ze duduz JF-Expert Member

  #10
  Aug 23, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 864
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  duuh pole kaka kwanza hali ya uchumi home ukoje? Isijekuwa umechaguliwa kozi ambyo haina mkopo and then dingi anatumia iyo chance ku-diverge !!
   
 11. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #11
  Aug 23, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  mh..kaka jua kwamba atakaye soma sio baba ni wewe!! lakin jiulize umependa program uliyopangwa? kama umepende na uliapply loan nenda kasome! ni vyema kumskiza baba lakin ni vyema zaid kuuskiza MOYO WAKO hasa kwenye maswala kama haya ambayo yatakua na impact kubwa sana kwenye future yako! binafsi nimechaguliwa sua lakin ni wachache sana walioniunga mkono katika uchaguz wangu wa sua,ila mimi hainipi tabu maana ntakae soma si wao bali ni mimi!
  itakua rahisi sana hata kama mambo yakiwa magum hapo saut wewe ku-overcum kwa kutafuta solution kuliko mambo yatavyokua magum mweka ambapo mda mwingi utaishia kujilaum wewe na baba ako ikiwa yeye ndo amekulazimisha kwenda kusoma kitu ambacho hupendi(japo sina hakikakama unapenda au la)
  NARUDIA TENA NI VYEMA KUMSKIZA BABA AKO ILA NI VYEMA NA BUSARA ZAID KUUSKIZA MOYO WAKO KATIKA HILI SWALA!!.....nawasilisha wana JF...
   
 12. K

  Keagan Member

  #12
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 6, 2012
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dogo unatafuta umaarufu kwa bidii khaaaa!! Unataka ufike saut huku celeb tayari? Maana tangu uchaguliwe we ni daily unapost khs your selection humu ndani!! Ungepata Princeton si ndo tungekoma?

  Sasa mzee wako si ni family issue why don‘t you solve it hukohuko au ongea na family members na ndugu wakusaidie kusolve?

  Hapo ni saut, je Ungekua unaenda Harvard au Yale au any ivy league si ndo ungejionesha kwenye tv na kwa shigongo kabisa?
   
 13. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #13
  Aug 23, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  mh..kaka jua kwamba atakaye soma sio baba ni wewe!! lakin jiulize umependa program uliyopangwa? kama umepende na uliapply loan nenda kasome! ni vyema kumskiza baba lakin ni vyema zaid kuuskiza MOYO WAKO hasa kwenye maswala kama haya ambayo yatakua na impact kubwa sana kwenye future yako! binafsi nimechaguliwa sua lakin ni wachache sana walioniunga mkono katika uchaguz wangu wa sua,ila mimi hainipi tabu maana ntakae soma si wao bali ni mimi!
  itakua rahisi sana hata kama mambo yakiwa magum hapo saut wewe ku-overcum kwa kutafuta solution kuliko mambo yatavyokua magum mweka ambapo mda mwingi utaishia kujilaum wewe na baba ako ikiwa yeye ndo amekulazimisha kwenda kusoma kitu ambacho hupendi(japo sina hakikakama unapenda au la)
  NARUDIA TENA NI VYEMA KUMSKIZA BABA AKO ILA NI VYEMA NA BUSARA ZAID KUUSKIZA MOYO WAKO KATIKA HILI SWALA!!.....nawasilisha wana JF...
   
 14. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #14
  Aug 23, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  mh..kaka jua kwamba atakaye soma sio baba ni wewe!! lakin jiulize umependa program uliyopangwa? kama umepende na uliapply loan nenda kasome! ni vyema kumskiza baba lakin ni vyema zaid kuuskiza MOYO WAKO hasa kwenye maswala kama haya ambayo yatakua na impact kubwa sana kwenye future yako! binafsi nimechaguliwa sua lakin ni wachache sana walioniunga mkono katika uchaguz wangu wa sua,ila mimi hainipi tabu maana ntakae soma si wao bali ni mimi!
  itakua rahisi sana hata kama mambo yakiwa magum hapo saut wewe ku-overcum kwa kutafuta solution kuliko mambo yatavyokua magum mweka ambapo mda mwingi utaishia kujilaum wewe na baba ako ikiwa yeye ndo amekulazimisha kwenda kusoma kitu ambacho hupendi(japo sina hakikakama unapenda au la)
  NARUDIA TENA NI VYEMA KUMSKIZA BABA AKO ILA NI VYEMA NA BUSARA ZAID KUUSKIZA MOYO WAKO KATIKA HILI SWALA!!.....nawasilisha....
   
 15. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #15
  Aug 23, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  siwezi kukupinga..ila umejiuliza ni kwanini kaja humu jf kuomba msaada..nadhan hata kama usingeandika kitu usingepungukiwa kitu..mshauri kama huwezi kausha..,kashfa na akumdhihaki mtu katika hali hii hufanywa na watu wasio na akili timamu...
   
 16. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #16
  Aug 23, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,864
  Likes Received: 4,708
  Trophy Points: 280
  Lakini kaka mpigamsuli me alinishauri lakini hakuthubutu kuanzisha bifu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #17
  Aug 23, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,864
  Likes Received: 4,708
  Trophy Points: 280
  LORDVILLE leo umekunywa kinywaji gani? Mbona unashuka point sana? Au ulilala na nani usiku wa kuamkia leo? Je umepigia mswaki maji ya dukani? Au dawa ya meno ilikua na virutubisho gani? Duh endelea hivyo hivyo Sua watakupa kacheo hata kau-CR. Ha ha ha ha ha ha hah. Big up jibaba. . . . .
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #18
  Aug 23, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 679
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Dogo ana mikosi mingi sana kwanza alianza na kupangiwa bachelor of engineering na makorokocho wakati amesoma arts sasa amekuja na hili la mzee mkubwa khaaa!!!...inabidi uairishe mwaka msikilize dingi tu kabla mikosi haijaendelea..
   
 19. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #19
  Aug 23, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  hahahahahahaha....ajuaye mungu...tuwe na imani kwan huo ndo wajib wetu...
   
 20. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #20
  Aug 23, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  babako anahela kweli ili uende mweka uingie lazima uwe na mahela ya maana kweli nyie washua..
   
Loading...