NOKIALUMIA
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 396
- 275
- Thread starter
-
- #41
Ahsante kwa ushauri mkuuSoma open university au ongea na bosi wako vizuri..
Wapo waliofanya kazi mwaka mmoja tu wakapewa ruhusa ya masomo.
Kuna MTU aliajiriwa May/2014 na Oct/2015 akaenda masomoni. Na alisoma bachelor + masters.. Hivyo alipata likizo ya miaka 5..!!!
#YNWA
Ahsante kwa ushaurikama unafanya kazi ya medical moja ya sababu inayokufanya kuwaza kurudi shule ni kutambiana eneo la kazi, ma Md wanajiona sasa
wewe una familia, piga kazi baba achana na habari zakusoma hakuna maana yakuacha kazi uende kusoma alafu urudi kutafuta kazi tena, watu wapo kitaa wanasaka kazi na usomi wao
piga kazi, ongeza kipato kwa kufikiria ata biashara baba lakin sio kwa njia yakuongeza elimu..
Ahsante kwa ushariUsithubutu kufanya hivyo, narudia tena USITHUBUTU. shule ipo tu, unakimbilia wapi? Yaani kuna wenzako wanakomaa waajiriwe serikali tena kwenye entry level position na wako above 35 yrs, wewe 32 inakuchanganya?
Utapoteka kazi na mke!
Huwez kusoma any medical course open universitySoma open university au ongea na bosi wako vizuri..
Wapo waliofanya kazi mwaka mmoja tu wakapewa ruhusa ya masomo.
Kuna MTU aliajiriwa May/2014 na Oct/2015 akaenda masomoni. Na alisoma bachelor + masters.. Hivyo alipata likizo ya miaka 5..!!!
#YNWA
YesWewe ni clinical officer ?na umeoa ?nijibu haya then ntakushauri vizuri mdogo wangu
Ahsante kwa ushauriACHA KAZI UONE KAZI KUPATA KAZI.
Ahsante kwa ushauriChukua hata unpaid leave lakini kazi haichwi jombaa utajuta.
Acha siasa bas , sio kila nyuz za siasa bhnaNani kakuajiri wakati mnashinda mnasema serikali ya awamu hii haijaajiri toka iingie madarakani?
Okay,kama una familia tayari haijalishi mkeo ana kipato au hana(kipato cha mke hakihesabiki),komaa hiyo miaka 3/4 ya utumishi serikalini ndo ukapige shule kwa faida 2:
Kasome hela zipo tu5yrs +intern
Kwa vigezo walivyotoa loanboard naweza pata mkopo
Intern ni mwaka wa mafunzo , ni part ya shule pia ukiomba ruhusa huombi 5yrs unaomba 6 yrs ,Sasa ndo miaka 6 hiyo?!?! MD Miaka mitano. Mwaka wa sita unakuwa unafanya kazi kwa vitendo Hospital fulani, unakuwa pia unalipwa. Ndo utauhesabia kama Mwaka wa 6?
Sema Miaka mitano.
Kuhusu kuacha kazi, sikushauri. Jaribu kuwaomba ruhusa, wakikataa basi unakuwa mpole.
Kusoma sana ni woga wa maishaHello mimi ni kijana mtanzania nina mwaka kwenye ajira ya serikalini but miaka 3 before nilifanya kazi private sector natamani nijiendeleze ila kutokana na mkwamo wa ajira za serikali itanibidi nisubiri mpaka 2024 ,, ndo nipate nafasi
Mwaka 2024 nitakuwa na miaka 32 , kozi nnayopenda kusoma ni 6yrs kumaliza itakuwa ni 2031
Kipi bora niache kazi nikasome mapema ila nikirudi ,na ganga private ,au nikomae
Kwasababu nyie mnakula kwa jasho sisi ni kuzaa tu kwa uchungu! Afu ubavu hauwezi kuwa kichwa!ππmkuu kwann unasema hivyo?.mbona wanaume tunakaa nanyi mkiwa jobless?.
kama unafanya kazi ya medical moja ya sababu inayokufanya kuwaza kurudi shule ni kutambiana eneo la kazi, ma Md wanajiona sasa πππ
wewe una familia, piga kazi baba achana na habari zakusoma hakuna maana yakuacha kazi uende kusoma alafu urudi kutafuta kazi tena, watu wapo kitaa wanasaka kazi na usomi wao
piga kazi, ongeza kipato kwa kufikiria ata biashara baba lakin sio kwa njia yakuongeza elimu..