KAKA A TAIFA
JF-Expert Member
- Apr 27, 2011
- 566
- 83
Nilivyosema nimeoteshwa kwamba serikali imefilisika hamkunielewa .sasa nasema imeanza kuwa kweli. Kwani serikali inakopa zaidi kwenye taasisi za kibenki zaidi stanbic.
Iliyobaki ni kuacha kazi sasa na kujipanga upya, maana huko tunakoelekea si kuzuri.watumishi wa ummawatajiju
wakubali masharti ya cameroon!