Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,146
- 3,460
Naam 🙏🏽Pole sana Mkuu
Vip kaka mchawi mbona kilio
Uwez kuelewa ila soon utakuja kuelewa nn nilimaanishaUnasumbuliwa na pepo mchafu mwenye mapembe ya ajabu mkuu.
Dawa ya huyo peoo ni kunyetuka tu!
Unafaa kutunga riwayaDr dogoli kinyamkela ☠️ 💀 pamoja na kwamba tunajihusisha na asili lakini pia, tunamwamini Mungu wa Mbinguni na kuitumikia ( Asili )
« Nikiwa nimelala nimepelekwa mpaka alipo Polepole, Polepole yupo jeshini anadhibitiwa na jeshi. Yupo humo kama Mfungwa hatoki ndani ya geti hilo.
Alikua kwenye mazingira ya kuzungumza akiwa anajirekodi katika maeneo hayo.
Nilipomwona askari mmoja aliniita akaniambia unakuja kufanya nini hapa ondoka. Ndipo nilipomtazama Polepole kwa huzuni na kuondoka mahali hapo penye Ulinzi mkali.View attachment 3550961
Machungu kaka mchawi ikikupendeza fanya jambo mzee arudi uraiani kakaVip kaka mchawi mbona kilio
Ila hata mimi naami jamaa bado hajafa.Uwez kuelewa ila soon utakuja kuelewa nn nilimaanisha
Siwezi kushangaa akiwa hai kweli, na akiwa hai kama ndugu yake asemavyo itakuwa kinachomlinda ni support ya chini chini ambayo anayo jeshini.Yaani watekaji wamlishe bure hadi Leo?
Me binafsi Imani yangu inanituma kuwa laZima atakuwa ashauliwa
KisaUnafaa kutunga riwaya
Uyu jamaa bado yupo Amin ninacho kwambiaYaani watekaji wamlishe bure hadi Leo?
Me binafsi Imani yangu inanituma kuwa laZima atakuwa ashauliwa
Inawezekana kaka ila alipo ndo mtihani mwingine unapo anzia apoMachungu kaka mchawi ikikupendeza fanya jambo mzee arudi uraiani kaka
Uliona kilichotokea 29/10, na pia kabla ya hapo (vijana wengi waliotekwa). Mimi ni mtu wa mwisho kuwa na mawazo ya kuwaona au kuwasikia tena wananchi waliopotea (i wish niwe wrong). Nilikuwa na hope ndogo kwa sababu yule kaka wa Polepole alikuwa anasema wamemfungia shemu, lakini nilipokuja kusikia anasema na Mdude amefungiwa hiyo sehemu niliona huyu hana info zozote. Hivi kwa kutumia akili tu kuna mtu anaamini Mdude bado yuko hai? Nalaani sana sana mauaji ya Samia na natamani siku moja ahukumiwe kwa ujinga aliofanya.H. Polepole ni mzima inajulikana, wala huitaji kuota, na hawawezi kumuua.
Upo sahihi pia mkuu. Mda ni hakimu mzuri sanaUliona kilichotokea 29/10, na pia kabla ya hapo (vijana wengi waliotekwa). Mimi ni mtu wa mwisho kuwa na mawazo ya kuwaona au kuwasikia tena wananchi waliopotea (i wish niwe wrong). Nilikuwa na hope ndogo kwa sababu yule kaka wa Polepole alikuwa anasema wamemfungia shemu, lakini nilipokuja kusikia anasema na Mdude amefungiwa hiyo sehemu niliona huyu hana info zozote. Hivi kwa kutumia akili tu kuna mtu anaamini Mdude bado yuko hai? Nalaani sana sana mauaji ya Samia na natamani siku moja ahukumiwe kwa ujinga aliofanya.