Mbwa dume
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 5,840
- 9,985
Wana JF habarini za Jumapili.
Kama kichwa cha habari kilivyo ni kwamba usiku wa leo nikiwa nimelala nimetokewa na kitu kama ndoto huku sauti kubwa nzito ikisikika kutoka juu ikisema "watu wangu wanaangamia kwa magonjwa yasiyotibika hivyo tunakukabidhi mti huu ambao utachuma majani yake yachemshe kisha mpe mgonjwa anywe kipimo cha lita moja kwa mkupuo na atapona maradhi yake hapohapo!"
Pia nimesisitizwa kuwa kila mgonjwa atalipia sh 1000 na sio zaidi na pesa itakayopatikana kwa mauzo ya dawa niitumie kusaidia watu wasiojiweza kama walemavu,watoto yatima nk.
Hivyo hapa nimeamka mapema nimewasiliana na uongozi wa mtaa ili nipewe kibali cha kuanza kutoa huduma hii mapema kama nilivyoambiwa!
Najua wengi hamtoniamini lakn ndo neema ya uponyaji imenishukia kwa kuonyeshwa dawa hii inayotibu magonjwa sugu kama kisukari,presha,kansa,ukimwi nk.
Na mda si mrefu watu kutoka mataifa mbalimbali watakuja kupata tiba hiyo kwa maelekezo niliyopewa.
Karibuni mtasikia hata kwenye vyombo vya habari watu wakitoa ushuhuda baada ya kupona zoezi la kugawa dawa hapa mtaani linaanza rasmi leo mchana baada ya maandalizi kukamilika.
Ntarudi baadae kwa picha...mbarikiwe sana!!!