Nimeota, tar 30 hatajitokeza

Nimeota, tar 30 hatajitokeza

Utakuwa hujashtukia mchezo. Wanaotafutwa awamu hii ili kuhusishwa na yale mauaji ni CHADEMA, Kanisa Katoliki, Askofu Gwajima, wanaharakati akina Mange Kimambi, Maria Sarungi, na wengine.

Kamwe hawataki kuamini ya kwamba chanzo kikuu cha yale machafuko ni kiburi na dharau zao.
Pia baadhi ya wana ccm wenye kumuunga mkono Emmanuel Nchimbi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom