Corticopontine
JF-Expert Member
- Sep 20, 2019
- 675
- 1,318
Tar 30 hataonekana hadharani
Mamdogo aunty!Nani huyo ?
Moja ya vitu hatari kwenye ujasusi ni ndoto.Siku hizi kila mtu ni muotaji,kila mtu ni mtabiri,kila mtu anaangalia vitu kwa jicho la tatu,kila mtu anaoteshwa na Mungu,
Hali hii inaweza kua ni moja ya dalili ya watu kukata tamaa ya maisha,
Kuna msemo unasema "Masikini haishiwi ndoto" sasa sijui ni kweli umasikini ndio unasabanisha haya!
Bibi yenu wa spice islandNani huyo ?
Hivi wale waliokua wanaimba nyuma ya gari ya Jeshi hatumtaki hatumtaki walipona kweli zile risasi au ndio walipelekwa ndani na kubambikiwa kesi kisha kuachiwa kinafiki? Maana sasa hivi Jaji Lila amerudi tena na tume yake uchwara eti anawasakaMlimani?
Hivi wale waliokua wanaimba nyuma ya gari ya Jeshi hatumtaki hatumtaki walipona kweli zile risasi au ndio walipelekwa ndani na kubambikiwa kesi kisha kuachiwa kinafiki? Maana sasa hivi Jaji Lila amerudi tena na tume yake uchwara eti anawasaka
Hii tume ya huyu Jaji Lila badala ije isafishe kidonda yenyewe inakuja kuwatonesha watu tena kidonda hivi muanzilishi wa hii tume alifikiria nini? Wewe watu umewaacha halafu unaunda tena tume iende ikawakamate watu walewale uliwaacha una akili gani?Walikamata watu nchi mzima ,rais aakagiza waachiwe kwa lugha rahis rais alisema hawakujua walitendalo sasa ?
Tume ya jaji Lila ikiwa itabaini baaadhi ya video watakamatwa Tena ..
Hii ngum kumeza
Utakuwa hujashtukia mchezo. Wanaotafutwa awamu hii ili kuhusishwa na yale mauaji ni CHADEMA, Kanisa Katoliki, Askofu Gwajima, wanaharakati akina Mange Kimambi, Maria Sarungi, na wengine.Walikamata watu nchi mzima ,rais aakagiza waachiwe kwa lugha rahis rais alisema hawakujua walitendalo sasa ?
Tume ya jaji Lila ikiwa itabaini baaadhi ya video watakamatwa Tena ..
Hii ngum kumeza