wooden flag
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 969
- 1,949
Sio ndoto huo ndio ukweli, ubarikiwe
Rais wa Akudo
Sio ndoto huo ndio ukweli, ubarikiwe
Mimi nimeota ukawa imeshinda na lowassa kafilisiwa mali zote alizoiba na amekuwa kichaa anaokota makopo kariakoo
Mibado naendelea kuota.
Nikimaliza kuota nitarudi kuchanga thread.
mie nimeota kwanza masikin cuf himemezwa na chadema pili ukawa wamempa uwenyekiti zito na agombanie uraisi . nikashituka kutoka usingizini nikasema inshaa,allah m/mungu hamfanyie wepesi . nusu saa baada ya maombi nika lala tena. dah !! huzuni ,hinauma sana , nawahona wana siasa mchwara ,wasaka tonge ,wabinafsi, wachumia tumbo , SLAA na mwezie MBOWE, wanamuwekea pingamizi
Mimi nimeota ukawa imeshinda na lowassa kafilisiwa mali zote alizoiba na amekuwa kichaa anaokota makopo kariakoo