MR. MORRIS T. J.
JF-Expert Member
- Apr 18, 2013
- 1,167
- 403
Nimeota Mh. E. N. Lowassa Kachaguliwa Kwa Kishindo Kuwa Rais Wa 5 Wa Tanzania Na Wakurugenzi Za Halmashauri Za Ya Wanane Wamepoteza Fahamu Kutokana Na Ufisadi Wao Kwenye Halmashauri!! Pia Waliokula Pesa Za Fidia Za Wananchi Wa Nzega Kata Ya Itilo Kijiji Cha Silimka Kitongoji Cha Kashishi Ambao Wamewapunja Malipo Ya Fidia Ya Ardhi Kwa Kuwalipa Sh. Mia Na Hamsini Kwa Mita Skwea Moja Ya Ardhi Badala Ya Sh. Elfu Tano Kama Inavyoonekana Kwenye Idara Ya Ardhi Nzega.Nimeota Kamfukuza Kazi Mkuu Wa Wilaya,mkurugenzi,waziri Magufuri Kwa Kula Pesa Zetu Za Fidia Ya Ardhi Yetu.NAOMBA NDOTO HII ITIMIE ILI DHURUMA TULIOFANYIWA NA HAWA MAFISADI IKOMESHWE.