LA7
JF-Expert Member
- Aug 26, 2019
- 457
- 1,749
Ni huko kijijini tulitoka ni kama mnadani hivi kuna kitu nikakifanya kwa mtoto wa Simba, hivo simba wkaanza kunikimbiza,
Nikafika nyumba moja hivi ilikuwa na vyumba vitatu vyote milango ya nje nilipofika nikakuta na watu wengine nao wakaingia ndani, simba akawa anatafuta tu nilipo mm nilivoona hivo nikatokea dirisha la nyuma na kukimbia, baadae akaniona na kunifuata ilibidi nikapande juu ya mti mrefu sana ndo ikawa pona yangu.