Nimeongea na J.K Nyerere katika ndoto. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimeongea na J.K Nyerere katika ndoto.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by gervase, Aug 22, 2011.

 1. g

  gervase Member

  #1
  Aug 22, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nimeongea na baba wa taifa ktk ndoto. Anasema miaka 50 ya uhuru kuna vijimambo Tanzania tumevifanikisha kama vile kuchagua maraisi kwa wakati muafaka, kujenga vijisekondari vya kata(vya mkapa), kupambana na malaria, nk. Lakn anasikitishwa na haya: mwananchi maskini bado anatawaliwa na tajiri, wachache wanafaidi raslmal za taifa, wanasiasa wengine ni std 7 wanawaamulia cha kufanya wataalam(wasomi). Mbaya zaid mtanzania bado anamkimbia askar polisi hasa trafk hasa kwa hofu ya kuibiwa kwa kigezo cha kutotii sheria za barabarani. Amesema na vijimambo vingine, ila kwa heshima ya siri kali naviweka kapuni. Mwana jf unadhani j.k original ktk ndoto nyingine ataongezd/punguza nini?
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  wewe ni great thinker au ni great dreamer..
   
 3. Nish

  Nish JF-Expert Member

  #3
  Aug 22, 2011
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 732
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  endelea kuota
   
 4. y

  yegomwamba Member

  #4
  Aug 23, 2011
  Joined: Dec 31, 2009
  Messages: 91
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  hatufanyi mambo kindotondoto hapa
   
 5. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #5
  Aug 23, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,424
  Likes Received: 3,786
  Trophy Points: 280
  Kumbuka kuwa ulichonacho leo kilikuwa ndoto siku zilizopita ................PLANING NI NDOTO
   
 6. G

  Ginner JF-Expert Member

  #6
  Aug 23, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 1,139
  Likes Received: 263
  Trophy Points: 180
  Wadau msikariri.....kusema kuwa ameongea na mwalimu kwenye ndoto ni matumizi ya lugha ya picha...huitaji kufika sekondari kuweza kuelewa mkuu alichomaanisha...
   
 7. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #7
  Aug 23, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  hiyo sio ndoto bali ni kufunuliwa.
   
 8. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #8
  Aug 23, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  ''Naotaaa ......Naotaaa........Nadanganywaaaa... Hhhooooo!!! Sijui ni mwanamuziki gani aliimba huu wimbo!
   
 9. Michese

  Michese JF-Expert Member

  #9
  Aug 23, 2011
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mbaraka mwinshehe
   
 10. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #10
  Aug 23, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Maana yake mda si mrefu na wewe tutakusahau!pole
   
 11. Nding'oli

  Nding'oli Member

  #11
  Aug 23, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 45
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mtu huota yausumbuayo moyo wake. Hayo ndiyo mambo yanayousumbua moyo wako kila wakati. Pole.
   
 12. P

  Pejokiss Senior Member

  #12
  Aug 23, 2011
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 165
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nakupa 5 ndingol ni kwel kuw ukimfikiria m2 sana au mambo mengine ni lazima2 utaota lkn pia nampongeza mtoa mada kwan inaonesha ni jins gan alivyo na uchungu kwa ynayotokea.usijal cna ndugu wana mapinduz tumejipanga mambo ytakua poa soon!
   
Loading...