Nimeondolewa Payroll

Ndo hatua gani,coz ameandika barua hadi now no majibu,toka kwaka jna july sasa anataka aanze upya kwa kutumia degree yke je atapenya kwa mfumo huu wa lawson au afanye mbinu ya kuchange birth c
Sasa ni process zip hizo,coz aliandika baruawilayani lkn wamesema hd wapeleke mkoani na mkoani iende taifani na kwa kuwa alishajaza form za ajira mpya toka chuo anahisi maybe znaweza tangulia post au
 
Au aende dar tamisemi au aende huko huko halshaurini kwake
 
Au aende dar tamisemi au aende huko huko halshaurini kwake
ninge mshauri angeenda tamisemi kwanza lbd kule watamsaidia,maan km ni barua haiwez kujibiwa mapema ht dada yang alimbiwa hivyo kuwa akiandika barua hatachelewa anaweza kuja kujibiwa zaid ya miaka,km ameomba ajira mpya its oky ni bora apotezee hiyo mishahara yk kuliko kupotez kazi
 
Mkuu pole sana kwa kufutwa kwenye payroll za serikali, lakini pia inaonekana una jeuri na kiburi, uliendaje kusoma bila kibali cha mwajiri wako? Kaaa na ujiulize kama Ulikuwa sahihi, kaa ukijua kutokuwepo kazini bila ruhusa inatosha kabisa kukufukuzisha kazi kama mtoro, nakushauri rudi kwenye halmashauri yako omba sababu za mshahara wako kusitishwa ila kama walishakupa barua ya kufukuzwa kazi you better find another opportunities maana hii nchi imebadilika sasa kiutendaji
 
Ulifanya uamuzi mzuri ila potezea kuajiriwa tafuta njia nyingine ya kutokea maana hakuna ajira serikalini. Maisha siyo kuajiriwa tu
 
Si
si anaweza akaenda tamisi dar au ndo hadi dodoma,na je inabidi uwe na mtu wakukusaidia au unaenda pale utumishi,msaada please
 
please if you dont mind,give me ur 4n number ni kucall kwa msaada zaidi
, post: 8196425, member: 74181"]Wadau mimi ni mwalimu wa halmashauri moja hapa Tz.nimeajiriwa kama mwalimu wa stashahada.Baadae niliomba kwenda kusoma nikanyimwa ruhusa ila nkaona si busara kupoteza fursa.
Nilipoondoka mkurugenzi kazuia mshahara wangu na nilipohitimu 2012.nikakuta wameshaniondoa kwenye payroll.
Tangu 2012 ninahangaika nirudishwe payroll ila hadi leo kila siku danadana.
Sasa naombeni ushauri maana kuna aliyeniambia kuwa ukishaondolewa payroll unaweza kuanza ajira upya bila tatzo.
Je nianze upya ajira?[/QUOTE]
Naomba your contac
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…