Nimeondokewa na baba yangu!

maege

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2012
Posts
309
Reaction score
73
Nilileta taarifa hapa za kutafuta Damu ya kumuongezea baba, nilipata ushirikiano mkubwa sana kutoka kwenu!! Ila Mungu kampenda zaidi, tutakuwa dar kwakipindi kifupi then tutaelekea kirua vunjo moshi kwa mazishi. Bwana ametoa naye ametwaa jina lake lihimidiwe Amina
 
Pole sana maege. MUNGU aipumzishe roho ya baba mahali pema peponi, amen!!
 
Last edited by a moderator:
pole mkuu, apumzike kwa amani mzee wetu.
 
Dah pole maege....
Ulikua unatafuta damu O- nadhani....Mungu akupe nguvu ya kukabiliana na ugumu huu...
 
Last edited by a moderator:
Asanten wote!!! KV manu, napandia kawawa nashuka kongo then naingia njia ya kushoto kama 3km.
 
psm, marybmpp. Ripb
 

Pole sana kaka na cha maana tumuombe Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi,Amen
 
Pole sana !
Kifo kipo lakini kwa sisi wanadam kamwe hakizoeleki daima. Pumzika Baba ya Dunia
umemaliza.
 
Pole sana maege Bwana ametoa, bwana ametwaa jina bwana lihimidiwe.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mkuu. RIP baba
 

Pole sana mkuu... Mwenyezi Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki....

Naona una majonzi mpaka umepost kwenye jukwaa la matangazo!!!
 
Pole sana mkuu.

Mungu amlaze mzee wetu mahali pema peponi. Amina
 
Pole sana mkuu, najua upo katika kipindi kigumu sana, Lakini sisi ni mavumbi, na tutarudi mavumbini.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…