Nimeondoka bwana..

Ww ni swahiba wangu wa cku nyingi na sisi tunasali masjid moja, ningeshangaa sana ungeniangusha!

Ila unifikirie hata ubalozi wa Uzbekistan basi swahiba???
 
lipumba hawezi kumsaliti mkwete hata siku moja. hata kipindi kile yeye alimpigia kampeni ili awe rais kwasababu alizozijua yeye mwenyewe.
 
Mnafiki mkubwa huyo blood group yake ni CCM plus. Alikuwa anataka kuchukua nchi ili atunyonye sio mkombozi kabisa huyu tena ikiwezekana akawe balozi wa shina huko Bagamoyo ili wawe pamoja
 
kalale pema peponi na wazandiki wenzio
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…