mwananthropolojia
JF-Expert Member
- Oct 6, 2012
- 956
- 658
kuna kabinti nimekafukuzia zaidi ya miaka 2, mpaka leo hajawahi kunipa jibu kama ananipenda ama hanipendi zaidi ya kuigiza tu tukiwa pamoja tunaongea. na kila nikijaribu kumchombeza kanakua kakali sana,mpaka nimeshindwa kukaelewa.
nishajaribu kumuuliza siku kama ananipenda au hanipendi anipe jibu moja nijue, akaishia kucheka na hakunipa jibu lolote.
sasa hii mara ya mwisho nimejaribu kumgusa bega wakati tunaongea amepaniki kinoma nikamuuliza tatizo ni nini?majibu yake kwa kweli mi sijayaelewa, kwani anasema kama ninataka kuongea naye niende siku nyingine yeye amechoka.kwa kweli nimeshindwa kumwelewa na nimechoka kuishi katika maisha ya dilema nikiwa siju msimamo wake kuhus mimi ni nini.
hivi kweli niendelee kusubiri maana nimeshachoka mwenzenu?