Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 57,775
- 91,794
Wanafunzi wa kike wanaruhusiwa kuvaa burqa(ninja) mashuleni?
Nimeona mwanafunzi wa kike kama wa kidato cha pili amevaa burqa(ninja) anaenda shule nikashaangaa sana.
Ukiacha kuwa ni mwanafunzi kwa nini watoto wadogo wavalishwe burqa? Nani mwenye akili timamu anaweza kuwatamani watoto wadogo?