Judgement
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 10,326
- 4,789
Kama kisomavyo kichwa hapo juu .
Mapema leo nikiangalia game , baina ya Liverpool Vs Sunderland , nimebahatika kuona kitu kihusucho Tanzania .
Ni nadra !
Na si kawaida kupata kukiona kitu hicho , kwa nchi kama England.
Hata hivyo sioni sababu ya kupoteza wakati wangu nikilete hapa , wakati sina dhamana wala uhakika kama hakitabadishwa username au maudhui ya mimi ninaeleta habari hiyo husika .
Bora tu ku'share na familia yangu .