Nimeona katika ulimwengu wa Roho

Na Kwa kweli umenipatia mkuu,
Kwa maana siwezi kuponda bila sababu na pia siwezi kusifia bila sababu, nimeamua kuwa huru zaidi sifungwi na Mila Mimi

Shauri yenu mnaofungwa na Mila na desturi

Na mada iliyopo ni maono ya huyo mwenzako sio hao unaotajataja, hapo unakuwa ni Nje ya mada, na istoshe mchango wangu haumbagui yeyote mwenye vitu vya kijinga kuvilinganisha na vitu visivyolinganishwa, haijalishi ni nani
 
Jipe moyo. A
 
Hah hah haaaaaaa wee jamaa umenifanya nicheke kifala asubuhi hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…