Strong and Fearless
JF-Expert Member
- Apr 24, 2017
- 895
- 2,218
Jana nimekutana na uyo mwanaume kwenye mishe za mjini, nikapenda the way he is , kwa bahati Nzuri akaniuliza my name na akaomba na my number.
Sasa cha kushangaza mpaka saa hizi hajanitafuta
Shida ni nini?
Sasa cha kushangaza mpaka saa hizi hajanitafuta
Shida ni nini?