Nimeomba TMO ila barua ni CMO

Nimeomba TMO ila barua ni CMO

Kuna dogo mwingine kanipigia naona ana wenge, anawaza aombe mbili au moja? Nisaidie kumuelewesha hilo tangazo linasemaje kuhusu kuomba TMO or CMO?
 
Kuna dogo mwingine kanipigia naona ana wenge, anawaza aombe mbili au moja? Nisaidie kumuelewesha hilo tangazo linasemaje kuhusu kuomba TMO or CMO?
Hizi kazi Zina pressure Sana aisee nyie acheni mishahara mikubwa Sana hukoo kila mtu anahitaj

Sent from my TECNO CC6 using JamiiForums mobile app
 
Eti eeeh?
Sema tu we nae mbovu kwenye IT.case yako inaweza kusolvika hata kwenye smartphone tu.
Mkuu haya Mambo Ni kuuliza kwanza ukisema uende kwa hisia unaweza usiitwe ...Ni Bora kuuliza tu Kama huna experience na tatizo maana hyo portal hatar sanaaa

Sent from my TECNO CC6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom